NGONI SPORT

NGONI  SPORT 2NACHO FUATA KWAO NI UTELEZI .....UTAMU.....ATA...SISI. TUNAO.

15/08/2024
31/07/2024

🚨_|| π—¨π—£π——π—”π—§π—˜π—¦ ‡️

➑️ β€œTimu yetu ina wachezaji wadogo ambao hawakuwa tayari kukutana na ugumu wa namna ile.

➑️ Ukiangalia unaona namna ambavyo Yanga ilipokuwa haina mpira iliweka presha kubwa kwetu na vijana kujikuta wanafanya makosa makubwa.

➑️ Kuna mabao ambayo mliyaona ni k**a yalikuwa zawadi kwao, lakini nadhani tumejifunza kilichotokea kwetu,”

©️ Nasreddine Nabi, kocha wa Kaizer Chiefs.

#..ngoni sport

Address

Maposeni
Peramiho

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NGONI SPORT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category