Kik 26tz

Kik 26tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kik 26tz, Grocers, Nyegezi.

Real yalalamikia hatua ya refa kupuuza unyanyasaji wa kibaguzi dhidi ya Vinicius Jr
19/03/2024

Real yalalamikia hatua ya refa kupuuza unyanyasaji wa kibaguzi dhidi ya Vinicius Jr

🚨 ; Habari Kutoka kambini Kutoka kwa Daktari wa Yanga Moses Etutu  juu ya maendeleo ya hali za wachezaji ambao ni majeru...
18/03/2024

🚨 ; Habari Kutoka kambini Kutoka kwa Daktari wa Yanga Moses Etutu juu ya maendeleo ya hali za wachezaji ambao ni majeruhi Ni;

𝗣𝗔𝗖𝗢𝗠𝗘 𝗭𝗢𝗨𝗭𝗢𝗨𝗔

Ameshapata huduma ya awali na kwa mujibu wa ripoti ya daktari wa Yanga Moses Etutu ndani ya masaa 72 ripoti kamili juu ya jeraha lake itajulikana ni muda gani atakuwa nje kuuguza jeraha lake.

𝗞𝗛𝗔𝗟𝗜𝗗 𝗔𝗨𝗖𝗛𝗢

Tayari ameshakamilisha awamu ya kwanza ya matibabu baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo wa goti, Khalid Aucho rasmi wiki hii atajiunga na wenzie kuanza mazoezi mepesi kujindaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundown hatua ya robo fainali.

𝗬𝗔𝗢 𝗔𝗧𝗧𝗢𝗛𝗢𝗨𝗟𝗔

Kwa sasa anaendelea vyema na matitabu.Ameshachukuliwa vipimo na ndani ya masaa 72 ripoti kamili juu ya jeraha lake la nyama za paja itakamilika ni muda gani atakuwa nje kuuguza jeraha lake.

𝗞𝗜𝗕𝗪𝗔𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗢𝗠𝗔𝗥𝗜

Kwa sasa anaendelea vyema na matibabu ya enka, Kibwana shomari anatarajiwa kukaa nje wiki mbili kuuguza jeraha lake la enka.

𝗭𝗔𝗪𝗔𝗗𝗜 𝗠𝗔𝗨𝗬𝗔

Kiungo mkabaji Zawadi Mauya ajitonesha jeraha lake la nyama za paja,Hivyo kwa sasa anaendelea na matibabu na alhamisi ya wiki hii ataanza mazoezi mepesi na wenzie kambini Avic town.

🟡🟢

Address

Nyegezi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kik 26tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category