13/03/2026
SHERIA CHUNGU NA NZITO YENYE UHALISIA WA MAISHA YA MWANAMKE
Jinsi Wazazi Wanavyoongea Na Mabinti Zao Katika Umri Tofauti
❌Miaka 13 :Usipende Wavulana Ni wabaya watakuharibia Maisha.
❌Miaka 18 :Sitaki Tena Nikuone Na Yule Mwanaume nikikuona naye tena uhame hapa nyumbani na Mimi Nitakuwa siyo mama Yako tena.
😔Miaka 23: Lini utatuletea Mchumba wako maana tunakuona Kila siku na yule kijana.
😔Miaka 26: Wenzio Wanaolewa wewe Bado Upo upo tu.
😔Miaka 30: Tumekuambia Acha kuchagua Chagua Wanaume lakini hutaki kusikia
😔Miaka 35: Mwenzetu hii Hali basi At Least upate mtoto tu utuletee Mjukuu.
😔Miaka 40:Wewe Tuletee Mwanaume yeyote yule kuhusu Harusi Tutagharamia Sisi Wenyewe
😔Miaka 45: Mmh kwani Wewe nani Alikuroga Eti .
Ukifa: Mtoto Wetu naye sjui alikuwa mzembe sjui mikosi si Bora angetuachiaga hata Mjukuu tu k**a alikuwa hataki kuolewa 😭
Binti kabla haujavuka hatua ndefu Zaidi kuwa makini njiani Kuna umri ukifika utataka muoaji ila waoaji watakuwa hawakuoni .
Asilimia kubwa ya wanawake walioachika ndio wanao ongoza kwa kutembea na waume za watu lakini wao waliachana na waume zao kwa sababu waume zao walichepuka 😔
NB Zamani nilijua ukishaoa ndo umemaliza kila kitu, kumbe kuna kuiombea tena isivunjike 😔
-PICHA-NAKUWAMBA-MIKOFI
Evalister
Evalister