East-West Seed Tanzania

East-West Seed Tanzania East-West Seed Tanzania, ni kampuni ya kimataifa ya mbegu bora za mboga. Our footprint covers almost 75%

Mbegu bora kwa mapato mazuri! 🌱

We provide innovative, high quality seeds and offer trainings to farmers in Asia, Africa and Latin America since 1982. Through our network of field representatives we understand firsthand the challenges farmers face, and promote innovative, problem-solving cultivation techniques. This hands-on exchange of knowledge promotes the success of both our farmer-customers and our business.

01/04/2026

Mbegu bora kwa mapato mazuri.

Hawa wakiwa ni washindi wa Quiz zilizo pita (papai na Mkombozi F1 quiz), hongera sana kwao na wote mlioshiriki.Mbegu bor...
31/03/2026

Hawa wakiwa ni washindi wa Quiz zilizo pita (papai na Mkombozi F1 quiz), hongera sana kwao na wote mlioshiriki.Mbegu bora kwa mapato mazuri.

30/03/2026

Hello Monday!Ni wiki nyingine tena na Maya F1, mbegu bora kwa mapato mazuri.Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia nambari ya simu;Kanda ya Pwani (Coastal region): ☎️ 0677 020 971Kanda ya Ziwa (Lake zone): ☎️ 0677 017 398Kaskazini (North):☎️ 0677 156 511Juu Kusini (Southern):☎️ 0677 017 405Zanzibar: ☎️ 0656 081 452International: ☎️+255 677 009 080

Jinsi ya kushiriki: andika majibu kwenye comment (mfano: 1B, 2B, 3B, 4C)Washindi ni wawili wakwanza kujibu kwa usahihi.M...
27/03/2026

Jinsi ya kushiriki: andika majibu kwenye comment (mfano: 1B, 2B, 3B, 4C)Washindi ni wawili wakwanza kujibu kwa usahihi.Mbegu bora kwa mapato mazuri.

25/03/2026

Msimu wa mvua si kikwazo kwa Dhahabu F1.Ikiwa ni mchumo wa tatu na bado inaonyesha ubora wake shambani, ikiwa na afya njema kabisa.Chaguo sahihi kwa mkulima anayehitaji uhakika wa mavuno.
Mbegu bora kwa mapato mazuri.

Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia nambari ya simu;Kanda ya Pwani (Coastal region): ☎️ 0677 020 971Kanda ya Ziwa (Lake zone): ☎️ 0677 017 398Kaskazini (North):☎️ 0677 156 511Juu Kusini (Southern):☎️ 0677 017 405Zanzibar: ☎️ 0656 081 452International: ☎️0677 009 080

Karibu ujifunze nasi kutoka kwa wataalamu wetu bobevu wa kilimo.
24/03/2026

Karibu ujifunze nasi kutoka kwa wataalamu wetu bobevu wa kilimo.

23/03/2026

Mbegu bora kwa mapato mazuri,

Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia nambari ya simu;
Kanda ya Pwani (Coastal region): ☎️ 0677 020 971Kanda ya Ziwa (Lake zone): ☎️ 0677 017 398Kaskazini (North):☎️ 0677 156 511Juu Kusini (Southern):☎️ 0677 017 405Zanzibar: ☎️ 0656 081 452International: ☎️0677 009 080

Heri ya sikukuu ya Eid.
20/03/2026

Heri ya sikukuu ya Eid.

16/03/2026

Heri ya wiki mpya na Imara F1, Mbegu bora kwa mapato mazuri.

13/03/2026

Je, unaijua mbegu bora ya tikitimaji iitwayo Mkombozi F1;
-Ina tunda kubwa (uzito usiopungua kilo 10 hadi 12) na ni tamu sana.
-Inauvumilivu wa magonjwa ya mnyauko fusari na virusi (Ukoma).
-Na inauwezo wa kusafirishika umbali mrefu bila kuharibika.

Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia nambari ya simu;
Kanda ya Pwani (Coastal region): ☎️ 0677 020 971
Kanda ya Ziwa (Lake zone): ☎️ 0677 017 398
Kaskazini (North):☎️ 0677 156 511
Juu Kusini (Southern):☎️ 0677 017 405
Zanzibar: ☎️ 0656 081 452
International: ☎️+255 677 009 080

Heri ya siku ya wanawake duniani.
08/03/2026

Heri ya siku ya wanawake duniani.

Address

Kilimanjaro
Moshi
8204

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:00
Tuesday 07:30 - 17:00
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 07:30 - 17:00
Friday 07:30 - 17:00

Telephone

+255677009080

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when East-West Seed Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to East-West Seed Tanzania:

Share