Agrihub Garden

Agrihub Garden AGRIHUB is Agriculture Research and Innovation Hub for SMEs and Agribusiness Development Support

Kamweneee Iringaaaa!!!🚀🔥Excitement is building as we gear up to launch 🚀 the Iringa Innovation Week 2024. Be part of thi...
08/06/2024

Kamweneee Iringaaaa!!!🚀🔥

Excitement is building as we gear up to launch 🚀 the Iringa Innovation Week 2024. Be part of this big event to be attended by stakeholders from Tanzania's diverse Innovation Ecosystem on 13th June 2024 (Thursday ) at Blomquist Hall (University of Iringa) from 9:00 a.m.

The week will showcase innovation exhibitions; engage in panel and round table discussions, and feature special presentations from ecosystem players.

It's a week you don't want to miss. Register now via https://shorturl.at/daAyQ



• • • • • .hub •

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa Rtd. CDF Gen. Venance Mabeyo na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Urio, wakiwatembelea wajasiriama...
01/12/2023

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa Rtd. CDF Gen. Venance Mabeyo na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Urio, wakiwatembelea wajasiriamali katika maonesho ya wiki ya ubunifu chuoni hapo, na kujionea utengenezaji mahiri wa mafuta ya parachichi yaliyo ongezwa thamani na maalumu kwa matumizi ya kula na kutumika k**a kipodozi kwa nywele na ngozi. Ubunifu huu ni sehemu ya mradi wa vijana wajasiriamali unaoendeshwa na Shirika la Rikolto East Africa chini ya program kubwa ya AGRI-CONNECT inayofadhiliwa na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya.

Katika Matembezi ya Kujifunza Shambani kwa Ndugu Justine Nnkya (Mkukima wa Cabbage), na Kituo cha Utafiti na Uendelezaji...
13/11/2023

Katika Matembezi ya Kujifunza Shambani kwa Ndugu Justine Nnkya (Mkukima wa Cabbage), na Kituo cha Utafiti na Uendelezaji wa Mbegu na Mazao ya Bustani; World Vegetable Center, Arusha.

Kalenda ya Masoko kwa Baadhi ya Mazao ya Mbogamboga Tanzania
14/08/2023

Kalenda ya Masoko kwa Baadhi ya Mazao ya Mbogamboga Tanzania

Happy Farmers Day 2023
08/08/2023

Happy Farmers Day 2023

Karibuni Mbeya City katika viwanja vya John Mwakangale kwenye maonesho ya Kilimo na Biashara (Nanenane Kimataifa) Agrihu...
01/08/2023

Karibuni Mbeya City katika viwanja vya John Mwakangale kwenye maonesho ya Kilimo na Biashara (Nanenane Kimataifa)

Agrihub ipo katika banda la Manispaa ya Iringa ikiwa inatoa huduma ya mafunzo ya kilimo cha uzalishaji Parachichi Kibiashara

25/06/2023

Maandalizi ya Miche ya Vitunguu Kabla ya Kwenda Kupandikiza Shambani

29/05/2023

21/05/2023

Demo Plot ya Matunda AGRIHUB GARDEN

Idadi ya Wanufaika wa Mbolea ya Ruzuku (April 2023)
20/05/2023

Idadi ya Wanufaika wa Mbolea ya Ruzuku (April 2023)

Welcome to Tanzania, Vice President of of the United States of America, Kamala Harris **alaharris
30/03/2023

Welcome to Tanzania, Vice President of of the United States of America, Kamala Harris

**alaharris

Kilimo cha Hoho Iringa
24/03/2023

Kilimo cha Hoho Iringa

Address

Iringa

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Telephone

+255787220120

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Agrihub Garden posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share