nuru tweve

nuru tweve Nuru Tweve

22/11/2025

Anglia suluhisho la kweli vita taifa na taifa uwaribifu mkubwa kutokea ila tutapata suluhisho la kweli.

22/11/2025

Maisha ni Barabara pana iliyopoteza alama tusichanganyikiwe Nassington zetu tunapopita juu yake.

Jinasue wewe mwenyewe kutoka utumwa wa kiakili hakuna awezaye kuokoa nafsi yake ila sisi wenyewe hakuna aogopae nguvu za...
22/11/2025

Jinasue wewe mwenyewe kutoka utumwa wa kiakili hakuna awezaye kuokoa nafsi yake ila sisi wenyewe hakuna aogopae nguvu za nyukilia kwasababu hakuna awezaye kusimamisha Muda au Jua kwanini tukae pembeni tukiangalia Manabii zetu wakiuliwa inatubidi tukamilishe kitabu.

13/10/2025

13/10/2025

13/10/2025

Unafikiri nini?

13/10/2025

1 Wakorintho 3:10
Kwa kadiri ya neema ya Mungu niliyopewa, mimi, k**a mkuu wa wajenzi mwenye hekima, naliuweka msingi, na mtu mwingine anajenga juu yake. Lakini kila mtu na aangalie jinsi anavyojenga juu yake.

13/10/2025

1 Yohana 3:22
Na lo lote tuombalo, twalipokea kwake, kwa kuwa twazishika amri zake, na kuyatenda yapendezayo machoni pake.

26/02/2024

nuru tweve

Share your videos with friends, family, and the world

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255752563861

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when nuru tweve posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to nuru tweve:

Share

Category