12/01/2017
STOP & CONNECT @ STOP & SHOP NZASA.
Hii ni aina fulani ya kipekee kabisa katika mfumo wa utoaji huduma za mahitaji mbali mbali ya nyumbani, k**a vile nafaka, unga, mafuta ya kupikia, vinywaji baridi, betri, umeme, malipo ya bili, uwekezaji katika mifuko ya kijamii, muda wa hewani vifurushi vya kuongea na vya internet, na huduma nyingine nyingi za kisasa katika teknolojia ya hali ya juu. Usingoje kushuhudiwa wewe fanya maamuzi uje Stop and Shop Nzasa ili upate huduma na kuokoa kiasi kikubwa cha pesa unachopoteza kwa kutokujua. Tupo maeneo ya njia panda ya shule kuelekea ccm. Kutokea Mbagala Rangi Tatu panda gari inayoelekea Kilungule shuka kituo cha njia panda ya shule kisha tupigie kwa namba 0769989091.
KARIBU SANA KWETU MTEJA NDIO MGENI RASMI. USIKOSE HESHIMA HIYO.