Home for all birds

Home for all birds Tunauza mchele Super,Grade1,toka Mbeya

Tunauza Samaki wa ziwani, Sato, Sangara..na vibua wa baharini

Bei ni jumla na rela reja

Karibuni

Napatikana kimara-kona along side morogoro road..KUCHI hawa nimewatoa Morogoro katika wilaya ya ulanga kuna jamii nyingi sana za wasukuma wanawafuga Kuku aina hii ya KUCHI hivyo niliamua kuwafata ili niwazalishe na niuze..kama una hitaji tumia contact zangu zinazopatikana kwenye hii page.vile vile ninao kuku chotara japokua wao huwa wanapatikana kwa vipindi..bado sijawa mfugaji mkubwa kufanya wapatikane mda wote.

Pata yako kesho mapema...1kg12000 tuna fanya derivary kwa bei na fuu kabisaa
16/02/2025

Pata yako kesho mapema...1kg12000 tuna fanya derivary kwa bei na fuu kabisaa

14/02/2025
Jipatie wine kutoka dodoma kwa bei ya tsh 40,000...Tupigiee 0718 416171
09/02/2025

Jipatie wine kutoka dodoma kwa bei ya tsh 40,000...
Tupigiee 0718 416171

Address

Kijitonyama, Salma Kikwete
Dar Es Salaam
14113

Telephone

+255753423757

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Home for all birds posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Home for all birds:

Share

Category