Chii Foods

Chii Foods Vyakula | Nafaka | Unga | Stoo reja reja
UNALETEWA ULIPO

06/04/2026

Hakikisha hapo nyumbani kwako haukosi unga wa Chii Super lishe Kwa ajili ya watoto wako. Ni mzuri sana na una matokeo mazuri na ya haraka. Karibu sana.
Tupigie 0628269384

Mpendwa wangu, unatumia unga gani Kwa ajili ya kupika ugali hapo kwako. Chiifoods tuna unga wa ugali mzuri sana, una mch...
25/03/2026

Mpendwa wangu, unatumia unga gani Kwa ajili ya kupika ugali hapo kwako. Chiifoods tuna unga wa ugali mzuri sana, una mchanywa mahindi na mihogo.
Karibu ujupatie wa kwako ili ufurahie na familia Yako. Karibu

Calls 0628269384

Eid Mubarak my family.
21/03/2026

Eid Mubarak my family.

Je una mtoto anasumbua kula na afya yake haijatengemaa vema. Chiifoods tupo Kwa ajili Yako. Karibu tukushauri kuhusu ung...
12/03/2026

Je una mtoto anasumbua kula na afya yake haijatengemaa vema. Chiifoods tupo Kwa ajili Yako. Karibu tukushauri kuhusu unga mzuri wa uji Kwa ajili ya afya yake. Unga wetu pendwa wa super lishe ni 5000 Kwa kilo.
Calls 0628269384 karibu sana.

18/02/2026

Unatumika unga gani hapo kwako? Mimi na familia yangu tunatumia super lishe ni mzuri sana Kwa afya zetu. Karibu ujipatie wa kwako Kwa sh 5000 tu.

16/02/2026

Chiifoodstz tunawatakia wiki njema na ya Baraka.

03/02/2026
03/02/2026

Umekua ukijiuliza kwanini utumie unga kutoka chiifoods? Jibu ni kwamba unapata:-
✔️ Protein
✔️ Wanga
✔️Madini chuma
✔️Nyuzi nyuzi
✔️Vitamin c
Tunapatikana Dar es salaam na mikoani yote TANZANIA.
Calls & Watsap 0628269384

02/02/2026

Unga wetu mzuri una mchanganyiko wa:-
✔️Mahindi lishe
✔️Mtama mwekundu
✔️Ngano lishe
✔️Mbegu za maboga
Ni mtamu, mlaini, unanukia vema sana
Bila kusahau una virutubisho vyote muhimu kwa ajili ya afya Yako na watoto pia.

Watoto kuanzia miezi saba na kuendelea, wamama wajawazito, waliojifungua Kwa ajili ya kuongeza maziwa. Karibu sana.

Calls & Watsap 0628269384

Address

Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chii Foods posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category