14/05/2026
Full package ya makharusi iliyokamilika.
Kilichobaki nikufika dukan kwetu nakujipatia bidhaa Bora na quality ya Hali ya juu kabisa...kwenye package hizo unapata vitu vifuatavyo.....
Kanzu quality ya kisaudia ama ya kiomanβ
.
Joho quality la kisaudia ama la kiomanβ
Viatyu(sandles),fimbo,hagali,kilembaβ
Kisu,pensi ya kuvalia kanzu na pafyum.β
Vityu vyote unapata kwetyu sisi.
Madina kanzu classic..
Karibun san
Kwa wale wa mikoan delivery zipo Tanzania nzima