06/11/2024
UTUNGU UMJIAVYO MWENYE MIMBA
1 WATHESALONIKE 5:3
[3]Wakati wasemapo, Kuna amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafula, k**a vile UTUNGU umjiavyo MWENYE MIMBA, wala hakika hawataokolewa.
For when they shall say, Peace and safety; then sudden destruction cometh upon them, as TRAVAIL upon a WOMAN WITH CHILD; and they shall not escape.
Bwana YESU ASIFIWE SANA !!!!
MWANAKONDOO AMESHINDA 💪🏾
Amani Ni kipindi chenye utulivu wa Kifamilia,Kisiasa N.K
UTUNGU ni hali anayopitia mwanamke wakati wa Kujifungua Mtoto/Watoto.
~KIPINDI cha UTUNGU ni ngumu sana kujua MUDA kamili ,,,
~ Huwa Kinatokea GHAFLA tu bila kujipanga .UTAKUTA muda wanacheka Hali ikabadilika GHAFLA... kwenye UTUNGU kuna maumivu makali sana wanayoyapitia tena bila kutarajia ( KUJIPANGA)
•NDIVYO ILIVYO
Pale unapodhani una Amani,una mali,Majumba ya kifahari tena na magari makali Ndani yake.......
~ SASA KWENYE KIPINDI HIKI WENGI WAMEJIKUTA KUINGIA KWENYE DIMBWI LA KILIO NA KUSAGA MENO ,,ni Kipindi ambacho wengi wamemwacha MUNGU baada ya kuona MAMBO yanawaendea shwari....
Sasa ile Shwari ikimkosa MLINZI ambaye Ni YESU,itakuwa ni hasara kubwa kwake yeye azaniye kuna Amani kumbe anaingia upotevuni.
UJUMBE
📌" HAKUNA MUDA AMBAO HAUMWITAJI YESU"
SAFARI YAKO IONGOZWE NAYE UKIWA CHINI HATA UKIFANIKIWA.
Bro Daniel Bugali
0615621200