12/11/2023
SUPER GRO ni kirutubisho cha mimea aina zote km mazao ya chakula, mboga, matunda, MITI, maua, nyasi hustawi mara 3 ya kawaida na kuongeza uzalishaji.
Ni mkombozi WA mkulima maana hakuna hasara ya pembejeo ,mkulima usubiri kupata mazao machache
Faida za super gro:
*Hutunza unyevu kwenye udongo na kwenye Jani hasa KIPINDI CHA jua
*Huongeza UZALISHAJI WA Mazao mara 3 ya kawaida
*UJAZO mzuri WA Mazao na UJAZO mkubwa
*Mazao kulingana
*Husaidia viuatilifu au dawa kubaki kwenye mmea hasa kipindi cha mvua maana Ina k**a stika ya kunasa
Bei ni robo Lita sh 40,000/ Lita moja sh 65,000/ na Lita Tano sh 1870,000/
Tuma order yako Leo na tunadeliver popote hata nje ya nchi piga/sms/Whatsapp namba 0622076973