Uongozi Media

Uongozi Media IT IS THE TIME TO CHANGE THE WORLD, POLICAL SCIENCE IS NOT ONLY TOOL BUT ITS THE WAY TO PASS THROUGH.

25/03/2026

Hii ina sababu nyingi, ikiwepo kupata pesa kwa watu kusajili CCTV, they are broke now, hamna hela ila sababu kuu ya hili ni ili wajue maeneo yenye CCTV ili wakifanya matukio yao ya kishetani waziwahi camera au wazi avoid.

Issue ya Banjoo ilipotokea the next day familia ilimfata Mahita na kumwambia pale kuna cameras nyinyi, awape footage, Mahita akawaambia nashughulikia hilo nitazipata. 2 days later wakarudi tena kwa Mahita, Mahita akawajibu kwa hasira msinifundishe kazi na pia msitangaze kapotea mimi nafanyia kazi. K**a mnakumbuka it took a while ile familia kutangaza ndugu yao katekwa ni sababu Mahita aliwakataza kutangaza eti italeta taharuki. Ile kutangaza yenyewe ni walifosi ila Mahita aliwakataza.

After about a week, familia ya marehemu ilianza kupita yale maeneo kuomba footage za CCTv wakawa wanaambiwa CCTV zimechukuliwa na polisi na copy zote wamechukua na wakaamiriwa kufuta any other copy.

This is why wanataka kila mwenye CCTV camera nchini wamjue, ukiacha issue ya kupata kipato kupitia hizo camera.

Mange kimambi kupitia mtandao wa X (Twitter)

Address

Idrisikasukula@gmail. Com
Dar Es Salaam
MUSOMA,MARA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uongozi Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Uongozi Media:

Share

Category