Nyumba

Nyumba Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nyumba, Grocers, Dsm, Dar es Salaam.
(1)

nyumba inaunzwa ipo chanika buyuni inaeneo kubwa inaunzwa Bei sh.55mil. maongezi yapo sana.mawasiliano yangu ni 07663956...
13/04/2026

nyumba inaunzwa ipo chanika buyuni inaeneo kubwa inaunzwa Bei sh.55mil. maongezi yapo sana.
mawasiliano yangu ni 0766395683
hii sio ya kukosa kabisa.
karibuni sana.

Habari.kwa mahitaji ya kununua nyumba,kiwanja Dar e salaam maeneo ni CHANIKA wasiliana nami kwa namba 0766395683 na 0788...
02/10/2025

Habari.
kwa mahitaji ya kununua nyumba,kiwanja Dar e salaam maeneo ni CHANIKA wasiliana nami kwa namba 0766395683 na 0788297171.huto jutia maamuzi yako.
karibuni sana.

Pata.Viwanjanyumba za kununua maeneo yaliyopo karibu sana na lami.nyumba pagala.Nafanya kazi hyo Kwa uangalifu, umakini ...
11/08/2024

Pata.Viwanjanyumba za kununua maeneo yaliyopo karibu sana na lami.nyumba pagala.
Nafanya kazi hyo Kwa uangalifu, umakini sana hakuna utapeli kazi zangu.
Ogopa matapeli.
Wasiliana NAMI Kwa Namba hizi
0788297171
Maeneo yanapatikana
Pugu
Buyuni
Chanika
Karibuni sana

26/06/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Yusuph Seiph Athman, Juma Kibingira, Doto Juma, Liliani Mabena, Nyami Chiwala, Charles Emmanuel, Lugano Yusuf, Said Said, Rutashobya Novath, Michael Joseph, Tangawizi Mtonga, Judith Sam, Mariam Pilipili, Adam Johnson Manyama, Hassan Mwangobola, Sisto Zasisa, Elias Barube, Alexanda Wamala, Stallone Koloma, Nyembo Junior, Ado John, Amani Mushy, Barnaba Libent, Omary Shekiondo, Amos Shayo, Michael Msala, Lawrence Peter, Huxy BoyTz, Daria Kessy, Shafiifundi Shafii, Yusuph Kyandamala, Victor Kajwahula, Godfrey Matikiti, Anna Mrema, Samwel Mshanga, Christina Nkwama, Charles Geofrey Kitengele, Oscar Elias, Suzana Kichambati, Shabani Komba, Baba Ruqahya, Dotto Kumalijaa, Kulwa Khery, Hery Sadallah, Jafari Nyuda, Jimmy Mgogosi, Mariam Uwimana, Livalove Elias, Haji Athumani Mwemkala, Msafiri Paul

Ogopa kutapeliwakudhulumiwakupotezewa mudaPata.Viwanja vya kununua Nyumba za kununuaMapagalaVilivyopo karibu sana na bar...
25/06/2024

Ogopa kutapeliwakudhulumiwakupotezewa muda
Pata.Viwanja vya kununua Nyumba za kununuaMapagalaVilivyopo karibu sana na barabara ya lami, kwenye mtaaa.
Maeneo ya,Pugu Kona.kinyamwezi. BuyuniTalian Chanika mwisho.Zingiziwa
Tuwasiliane Kwa Namba hizi
0788297171
Karibuni sana sana

Ipo sokoni mwenyewe anashida sana inauzwa sh.37mil maongezi yapo.Tuwasiliane Kwa Namba hizi0788297171Nyumba ipo Chanika ...
06/06/2024

Ipo sokoni mwenyewe anashida sana inauzwa sh.37mil maongezi yapo.
Tuwasiliane Kwa Namba hizi
0788297171
Nyumba ipo Chanika DSM

Kwa mahitaji yakununua viwanja kununua nyumbaunauza nyumba yako unauza kiwanja chako.ukitaka kiwanja kilicho karibu na b...
02/05/2024

Kwa mahitaji yakununua viwanja kununua nyumbaunauza nyumba yako unauza kiwanja chako.ukitaka kiwanja kilicho karibu na barabara ya lami
Wasiliana NAMI.
Viwanja vinauzwa vipo Chanika zingiziwa
Taliani
Buyuni
Kwa zoo
Pugu kinyamwezi
Vipo katika mazingira mazuri sana hata wakati wa mvua hupati shida yeyote.
Epuka kutapeliwakudhurumiwakupotezewa muda wako.
Wasiliana NAMI Kwa Namba hizi
0788297171
Karibu sana

☝️☝️☝️☝️Viwanja vipo sokonVinapatikana Chanika buyuni Bei sh.4mil ni vizuri sana wasiliana NAMI Kwa Namba hizi 078829717...
17/04/2024

☝️☝️☝️☝️
Viwanja vipo sokon
Vinapatikana Chanika buyuni Bei sh.4mil ni vizuri sana wasiliana NAMI Kwa Namba hizi 0788297171

Kwa mahitaji ya BATI safi imara wasiliana nasi Kwa Namba hizi 0788297171Tunapatikana Dar es salaam Tazara.: Pc moja ya b...
10/12/2023

Kwa mahitaji ya BATI safi imara wasiliana nasi Kwa Namba hizi 0788297171
Tunapatikana Dar es salaam Tazara.
: Pc moja ya bati inakuwa ina urefu wa mita (futi 10)...upana cm 78, 82,.
Bundle moja lina pc 16.
: Bei ya pc moja 23,500
Bei ya Bundle 16*23500=376000/=

Kwa mahitaji ya-Kupaua nyumba-kupiga brandering na kufunga gypsum.-Madirisha ya Aluminum.Tunafanya kazi kwa weledi mkubw...
13/05/2023

Kwa mahitaji ya
-Kupaua nyumba
-kupiga brandering na kufunga gypsum.
-Madirisha ya Aluminum.
Tunafanya kazi kwa weledi mkubwa uaminifu ndio kipaumbele chetu.
Mawasiliano
0788297171
Wasiliana nasi

Address

Dsm
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyumba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category