Nzobalex official

Nzobalex official Life's &street story

12/02/2026
12/02/2026

Machozi ya mpambanaji ni jasho la Kesho yake.

Celebrating my 3rd year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉
12/02/2026

Celebrating my 3rd year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

12/02/2026

April,26.2026.Celebrating my 3rd year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

12/05/2025

With Ahmed Ally – I just got recognized as one of their top fans!

Hawajui
04/05/2025

Hawajui

Dickson Masanja ✍️

KUHUSU DAKIKA ZA NYONGEZA

Kila baada ya kipindi kimoja cha mchezo kumalizika huongezwa dakika ili kufidia muda ambao mpira haukuchezwa kwa sababu mbalimbali. Tuelewane hapa, haziongezwi dakika za ziada badala yake zinaongezwa dakika za kufidia zile ambazo mpira haukuchezwa.

Mwamuzi akiona dakia nne [4] ndio zilipotea ataongeza dakika hizo ili kufidia zile zilizopotea na mpira haukuchezwa.

Kuna kitu tuweke sawa hapa, wakati mwamuzi anasimamisha saa yake kutokana na matukio yanayosababisha mpira usichezwe, zile dakika za kwenye TV zenyewe zinaendea kuhesabu k**a kawaida!

NI MATUKIO GANI YANAPELEKEA MCHEZO KUSIMAMA?

• Mabadiliko ya wachezaji [substitutions]
• Mchezaji kuumia na kutibiwa/kupatiwa huduma ya kwanza uwanjani
• Vurugu baina ya wachezaji uwanjani wakati mchezo unaendelea
• Mapumziko madogo ya wachezaji kunywa maji [drinks breaks/cooling breaks
• VAR checks/reviews
• Kushangilia goli/magoli

Kwenye mchezo wa jana kuna baadhi ya matukio ambayo yanaweza kukushawishi kukubaliana kwamba kuna muda mwingi ulipotea

• Kadi nyekundu kwa golikipa wa Mashujaa FC Patrick Munthary ilileta mzozo na ikachukua muda kidogo golikipa huyo kutoka.

• Zoezi la kufanya mabadiliko ya kumtoa mchezaji wa ndani kwenda kuchukua nafasi ya Munthary kuna muda hapo wa maandalizi.

• Kabla ya Munthary kuoneshwa kadi nyekundu kuna muda alimwita mwamuzi akamuonesha ishara anahitaji msaada wa madaktari, mwamuzi akaruhusu madaktari waingie uwanjani kumhudumia.

• Golikipa aliyechukua nafasi ya Munthary pia kuna muda alilala akavuliwa hadi gloves na badae kusaidiwa tena kuzivaa.

Kwa hiyo mjumuisho wa matukio ambayo yana shawishi kuona muda mwingi uliopotea wakati wa mchezo wa Simba V/s Mashujaa.

Mwisho wa yote anaetunza muda ni mwamuzi ndio maana sisi huku nje hatuwezi kuhukumu moja kwa moja kwakuwa hakuna mtu alikuwa anasimamisha saa kila inapotokea mchezo umesimama.

NB: Dakika za nyongeza haziwezi kupungua zile zilizoongezwa [lazima zichezwe zote] lakini zinaweza kuongezeka ikiwa kutatokea matukio yatakayosababisha mchezo kusinama.

Toa maoni yako


17/01/2023

Home land,
Hapa ni mbuga ya hawa washikaji wanasaka risk 😆🤣

Huu uchafu, Watoto wanacheza na sisi tunapita, Kwanini tusiwe wasafi katika mazingira yetu ili maisha yetu yawe melefu (...
17/01/2023

Huu uchafu,
Watoto wanacheza na sisi tunapita, Kwanini tusiwe wasafi katika mazingira yetu ili maisha yetu yawe melefu ( usafi ni afya).Hii sijaipenda.
Mwambie jirani usafi muhim Sio mpaka uambiwe na kiongozi wa juu..

17/01/2023

Uchafu Mitaani
Unaweza kuwa Ni athari kubwa Katika maisha ya jamii, wakati mwingine hata kupunguza maisha ya watu au kupoteza kabisa maisha.je upi ushauri wako katika hili....?

01/01/2023

Weve thank for Past 2022,also thanksomuch for 2023.B'se past was the challenge ofthis NewYear due can't take the step if there were no obstacle or friction.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255766296636

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nzobalex official posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category