Joshua Mgallah

Joshua  Mgallah Public figure, Political Scientist and Activist

Mwezi Mmoja Tarehe Tofauti Mungu Akulinde na Abariki Kazi ya Mikono yako Happy birthday to you my darling
30/05/2023

Mwezi Mmoja Tarehe Tofauti Mungu Akulinde na Abariki Kazi ya Mikono yako Happy birthday to you my darling

*UFADHILI WA MASOMO KIDATO CHA KWANZA HADI CHA NNE UNAOTOLEWA NA SHULE YA SEKONDARI GILI*Uongozi wa shule ya Gili sekond...
08/11/2022

*UFADHILI WA MASOMO KIDATO CHA KWANZA HADI CHA NNE UNAOTOLEWA NA SHULE YA SEKONDARI GILI*

Uongozi wa shule ya Gili sekondari iliopo Kibaha-Maili mmoja, unawatangazia nafasi chache za ufadhili (Yaani kumsomesha mwanao bure kwanzia kidato cha kwanza hadi cha nne, kwa mwaka wa masomo 2023). Shule ya wasichana Gili sekondari ni shule inayofanya vizuri sana kitaaluma.
SIFA ZA MWANAFUNZI ATAKAYE FADHILIWA
1. AWE NI BINTI ANAETOKA KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
2. AWE NI BINTI ANAEFANYA VIZURI KITAALUMA
*USAILI UTAFANYIKA SHULENI, KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFWATAZO:*
+255 753 963 866
+255 742 262 985
+255 693 803 145
Pia waweza kutembelea tovuti yetu kwa kutumia link hii kuweza kupata taarifa mbali mbali kuhusu shule ya Gili sekondari
TOVUTI:

Shule ilishika nafasi ya 07 kati ya shule 55 kwa mkoa wa Pwani na nafasi ya 34 kati ya shule 845 kitaifa katika somo la Book -Keeping.

Kuna wakati tunatafuta Muda wakufanya jambo ili kulinda wakati .Lakini Kumbe Muda ndio mhimu katika kuutafuta wakati
04/11/2022

Kuna wakati tunatafuta Muda wakufanya jambo ili kulinda wakati .Lakini Kumbe Muda ndio mhimu katika kuutafuta wakati

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255768716767

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joshua Mgallah posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Joshua Mgallah:

Share

Category