Keza Enterprise's

Keza Enterprise's Advertising

Kwa mahitaji ya picha za ukutani na officeni piga 0762583842 au tuma sms wasup
07/01/2026

Kwa mahitaji ya picha za ukutani na officeni piga 0762583842 au tuma sms wasup

Mwenye degree asiye na ajira kuna wakati huwa anaona bora angeishia form four na angefanya shughuli nyingine...Na aliyei...
30/11/2025

Mwenye degree asiye na ajira kuna wakati huwa anaona bora angeishia form four na angefanya shughuli nyingine...

Na aliyeishia darasa la saba kutokana na hali ya maisha aliyonayo kuna wakati anaona alipaswa kufika chuo kikuu ili awe na maisha mazuri...HUO NDIYO UTAMU WA MAISHA...

Uzuri ni kwamba maisha huwa hayana formula maalum...aliyesoma maskini, wakati asiyesoma ni tajiri, na kuna asiyesoma maskini wakati aliyesoma ni tajiri...

Mwenye pesa anaumizwa na mapenzi mpaka anatamani kuwa Single na asiye na pesa anaachwa kwa sababu hana kipato cha kumudu gharama za mwenzi wake...

Unawaza kuacha shule ili ufanye biashara kwa sababu watu wengi wanafanikiwa na muda huo huo kuna mwenzako anawaza kuacha biashara kwa sababu biashara hailipi ili arudi shule akimaliza akaajiriwe...

Ingelikuwa maisha yana jibu moja wala tusingeona utamu wake...HUAMINI...? chukua hii wakati wewe unaumiza kichwa ufanye nini ili ufanikiwe kuna mwenzako anatamani angefikia walau hata robo tu ya maisha yako...

Ishi kwa amani...ishi kwa upendo, ishi kwa furaha...maisha ndiyo haya haya...hakuna formula zaidi ya kuishi maisha yako...

Hard work pays...Ni kweli wakati mwingine kwenye maisha kufanikiwa huwa ni bahati, ila ni kwa wale tu ambao wanazielekeza bahati kuja upande wao...

Kuna anayejituma sana lakini miaka nenda rudi hafanikiwi na yupo mvivu na uvivu wake anatusua...kuna anayeweka bidii kubwa kwenye kazi/biashara na bado hafikii malengo...(Utamu wa Maisha)

Usiumize sana kichwa kuishi maisha ya wengine kwenye maisha yako....bali unatakiwa kutumia muda wako mwingi kuishi maisha yako kwenye maisha yako...

Dunia inakuruhusu kupanga na kubonyeza kitufe unachoona ni sahihi na huku ikiwa imeficha "button" ya matokeo...kazi yako kubwa ni kuumiza kichwa kipi ni kitufe sahihi unachopaswa kubonyeza ili kikuonyeshe "button" ya matokeo unayoyahitaji.........................................

Address

0762583842
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Keza Enterprise's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Keza Enterprise's:

Share