Allah akibar

Allah akibar Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Allah akibar, Grocers, Dar es Salaam.

HIVI NDIVYO WAISLAM WANAVYOITWA KWENDA KUSWALI. 1 Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar.  (Allah ni mku...
24/10/2024

HIVI NDIVYO WAISLAM WANAVYOITWA KWENDA KUSWALI.

1 Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar.
(Allah ni mkubwa sana, Allah ni mkubwa sana, Allah ni mkubwa sana, Allah ni mkubwa sana).

2 Ash-Hadu Al-Laa-Ilaaha Illallah, Ash-Hadu An-Laa-Ilaaha Illallah.
(Ninakiri kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah tu, Ninakiri kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah tu).

3 Ash-Hadu Anna Muhammadan Rasuulullah, Ash-Hadu Anna Muhammadan Rasuulullah,
(Ninakiri kuwa Muhammad ni Mtume wa Allah, Ninakiri kuwa Muhammad ni Mtume wa Allah).

4 Haiyya Ala-Sswalaa, Haiyya Alaa-Sswalaa .
(Njooni kuswali, njooni kuswali).

5 Haiyya 'Alal-Falaah, Haiyya 'AlalFalaah.
(Njooni kwenye mafanikio, njooni kwenye mafanikio).

6 Allahu Akbar, Allahu Akbar.
(Allah ni mkubwa sana, Allah ni mkubwa sana).

7 Laa-Ilaaha Illallah.
(Hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah tu).

⚠ Katika Adhana ya Alfajiri ataongeza: “Asswalaatu Khairun Minan-naum, Asswalaatu Khairun Minan-naum” (swala ni bora kuliko usingizi) baada ya “Hayya 'Alalfalaah”.

Nimeinukuu post hi kutoka kwa page ya Uzuri Wa Uislam
karibu ujumuike nasi katika page yetu
Quran Muongozo Wangu

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Allah akibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category