31/01/2024
Ahasante mungu kwa maisha.
Ahasante baba kwa upendo.
Ahasante mama kwa upendo.
Leo ndio tarehe ya mfanano wangu wakuja hapa duniani kubwa Sina zaidi ya kusema Alhadullah na nichukuwe fulsa hii kuwapenda wote wanao nisapoti kwa namna Moja ama nyingine Mungu awaweke amen
Mimi si kitu bila ya wewe.