Shannel Estates

Shannel Estates Njia Mpya, Tofauti, na ya Kipekee, Kukufikishia Wewe Matunda Bora, Toka kwa Mkulima Msambazaji kwa Bei Stahilifu 🙂

Papai Kubwa Tshs 1,500 na ya Wastani Tshs 1,000, Nanasi Kubwa Tshs 1,500 ya Wastani Tshs 1,000 Ndizi moja Tshs 100 & Pesheni 1kg Tshs 1,000.

Je unahitaji unga wa ndizi wa jumla? Je unahitaji ndizi za krispies? Je unahitaji ndizi   za jumla kwa hotel au biashara...
01/03/2025

Je unahitaji unga wa ndizi wa jumla? Je unahitaji ndizi za krispies? Je unahitaji ndizi za jumla kwa hotel au biashara yako? Tafadhali tuwasiliane, ili biashara zetu zikue pamoja 🇹🇿

Tafadhali tusaidie maarifa kujua huu ni ugonjwa, au tatizo la namna gani kwenye Minazi yetu mifupi (dwarf). Ipi ni dawa ...
01/03/2025

Tafadhali tusaidie maarifa kujua huu ni ugonjwa, au tatizo la namna gani kwenye Minazi yetu mifupi (dwarf). Ipi ni dawa yake, au kanuni za matunzo, kuzuia hili lisijitokeze tena? Tunatanguliza shukrani zetu 🙏

Ndizi   zilizo kubwa, tamu sana, na zenye mwenekano mzuri; sasa zinapatikana DSM kwa wingi. Wateja wote wa jumla mnakari...
30/01/2025

Ndizi zilizo kubwa, tamu sana, na zenye mwenekano mzuri; sasa zinapatikana DSM kwa wingi. Wateja wote wa jumla mnakaribishwa 🙂

With Huduma ya Vitabu – I'm on a streak! I've been a top fan for 7 months in a row. 🎉
20/01/2025

With Huduma ya Vitabu – I'm on a streak! I've been a top fan for 7 months in a row. 🎉

Je ni aina gani ya unga wa ndizi ( ), unahitaji kwa ajili ya biashara yako?Unaweza kupatiwa   mbichi au zilizoiva toka: ...
07/01/2025

Je ni aina gani ya unga wa ndizi ( ), unahitaji kwa ajili ya biashara yako?

Unaweza kupatiwa mbichi au zilizoiva toka: Kisukari, Lashne, Mzungu (red decca), au Ngazija (bokoboko - plantain).

Pia unaweza kupatiwa toka ndizi Malindi, Mtwike, Jamaika, Fhia 17, au Grand 9. Kwa kadri ya kiasi tunacho kubaliana, unaweza kupatiwa kila wiki, na kwa mwaka mzima 🙂

Do you need a bulky Banana Flour ( ,  ) or Banana Powder ( ) for your manufacturing process (snacks,  , baby food ( ), b...
06/01/2025

Do you need a bulky Banana Flour ( , ) or Banana Powder ( ) for your manufacturing process (snacks, , baby food ( ), biscuits, cake, breads, skin care products, medicines, or animal foods)?

Please drop sms (+255754494935), and we will contact you. Otherwise, please forward to a person who may need this service. Thanks you for sincere support 🙂

Kwa Wateja wa kununua jumla     DSM; Je ni kwa ajili ya  , au  , au  ? Unakaribishwa kuwasiliana na Bustani ya Edeni tuk...
21/12/2024

Kwa Wateja wa kununua jumla DSM; Je ni kwa ajili ya , au , au ? Unakaribishwa kuwasiliana na Bustani ya Edeni tukufikishie ulipo. Karibu Sana 🙏

Kwa mahitaji ya jumla ya    , karibu upatiwe huduma bora 🇹🇿
14/12/2024

Kwa mahitaji ya jumla ya , karibu upatiwe huduma bora 🇹🇿

Tunaendelea kusubiria mvua za   ... 🙂
25/11/2024

Tunaendelea kusubiria mvua za ... 🙂

Kwa wakazi wa     DSM, karibuni kwa mteja wetu Sefu, upande wa juu kwenye mataa. Hapo utapata    , na  . Pia utajipatia ...
12/10/2024

Kwa wakazi wa DSM, karibuni kwa mteja wetu Sefu, upande wa juu kwenye mataa. Hapo utapata , na . Pia utajipatia na ndizi za kupika ( ) aina ya , , na ( ya daraja la juu) 🙂

Ni YHWH atushikaye mkono kutuonyesha njia ...
27/09/2024

Ni YHWH atushikaye mkono kutuonyesha njia ...

Safari bado inaendelea ... 🏃
09/09/2024

Safari bado inaendelea ... 🏃

Address

Njopeka, Mkuranga
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:30
Tuesday 07:30 - 17:30
Wednesday 07:30 - 17:30
Thursday 07:30 - 17:30
Friday 07:30 - 17:30

Telephone

+255754494935

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shannel Estates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shannel Estates:

Share

Category