04/05/2026
Epuka stress za vitafunwa kila siku asubuhi π
Toa oda ya wiki nzima, hifadhi kwenye fridge π§
Kila siku unachukua tuβharaka, rahisi na fresh π₯
π₯ Sambusa crispy
π₯― Maandazi ya kuoka & kukaanga
π₯§ Meat pie tamu
βοΈ Inaokoa muda
βοΈ Inaokoa pesa
βοΈ Hakuna stress ya asubuhi
π¦ Delivery ipo
β³ Tunatengeneza kwa oda β nafasi chache
DM / WhatsApp sasa uweke oda π² 0712183959.