01/11/2024
Tumia kamba maalum na herk imara kwa ajili ya feeder zako. Hii unaweza kupandisha juu na kushusha chini. Unapandisha kadri ya ukuaji wa kuku zako.........Na unapotaka either kusafisha banda unaweza kupandisha juu zaidi.
Tupigie. 0788117465
Dar es Salaam
Tanzania.