03/02/2023
Karibuni maboss zangu tuweze kuwahudumia, Kwa wateja wa mikoani na ndani ya Dar es salaam.
Tunafanya huduma ya packing katika box ngumu zinazoweza kusafiri na mzigo popote pale,hii yote ni kukurahisishia mpendwa mteja.
Bado mayai yanapatikana kwa bei nzuri ambayo wewe mfanyabiashara unaweza kununua na ikakupa faida nzuri sana,Mayai yetu yana ubora wa hali ya juu, ngozi ngumu ya yai, kiini cha njano na ni yanaweza kuhimili kukaa mpaka miezi mitatu(3).
Karibuni sana,
Contact/Whatsap 0677210276.