Afya kwanza

Afya kwanza Kwann afya ; sababu bila afya uwez fanya chochote. Afya ni kitu Bora zaid

👉 “Umewahi kujihisi mwanaume dhaifu mbele ya mpenzi au mkeo?Unakaa ofisini ukiwa na heshima kubwa, lakini unapofika nyum...
06/10/2025

👉 “Umewahi kujihisi mwanaume dhaifu mbele ya mpenzi au mkeo?
Unakaa ofisini ukiwa na heshima kubwa, lakini unapofika nyumbani huna nguvu ya kuonyesha wewe ni mwanaume kamili?
Hali hii inavunja moyo, inashusha heshima yako na hujifanya unajihusisha na kazi nyingi ili kuficha udhaifu huu.”

---
“Wanaume wengi wa ofisini wanapambana kwa siri na tatizo la nguvu za kiume.
Wanajihisi wazee kabla ya wakati, wakiwa na aibu kuzungumza. Lakini ukweli ni huu: Tatizo hili lina suluhisho.
Bidhaa yetu ya asili imesaidia mamia ya wanaume kurudisha nguvu zao, kuongeza stamina, na kurejesha ile heshima ya ndoa na mahusiano. Hakuna tena udhaifu, hakuna tena aibu – badala yake utahisi nguvu, ujasiri na furaha ya kweli.
Fikiria siku unapoamka ukiwa na nguvu mpya, ukimwangalia mpenzi wako akiwa na tabasamu la furaha kwa sababu ya wewe!”

✅ Bidhaa yetu [weka jina la bidhaa] ni ya asili, salama, na imethibitishwa kusaidia kuimarisha nguvu za kiume kwa muda mfupi.
Usiache tatizo hili likukoseshe amani ya moyo na furaha ya nyumbani.
👉 Fanya uamuzi leo, kwa sababu kadri unavyosubiri ndivyo unavyozidi kupoteza heshima na furaha unayostahili.

“Bonyeza hapa chini sasa 👉 +255719718469 wahi sasa usisubiri
✅ Agiza leo na urudishe heshima yako ya kiume kabla haijachelewa!”

15/06/2025

AFYA NI Mali

Niulize chochote kuhusu afya🥰🥰
14/01/2025

Niulize chochote kuhusu afya🥰🥰

Karibu tujifunze kuhusu afya zetu ili tuweze kusaidia jamii zetu na ndugu zetuAfya ni mali
01/10/2024

Karibu tujifunze kuhusu afya zetu ili tuweze kusaidia jamii zetu na ndugu zetu
Afya ni mali

U.T.I kirefu chake ni URINARY TRACT INFECTION ikiwa na maana ya maambukizi katika njia ya mkojo na huathiri mfumo wa mko...
10/03/2024

U.T.I kirefu chake ni URINARY TRACT INFECTION ikiwa na maana ya maambukizi katika njia ya mkojo na huathiri mfumo wa mkojo na mfumo wa uzazi, wadudu huathiri sana kibofu cha Mkojo na Njia ya mkojo au urethra.
Wanawake wapo katika hatari zaidi ya kupata Ugonjwa wa UTI kuliko wanaume kutokana na Maumbile yao yalivyo.Maambukizi ya kwenye kibofu huleta maumivu makali, madhara makubwa hutokea endapo maambukizi yakifika mpaka kwenye figo.
Ugonjwa wa UTI
Kwanza Tuanzie hapa Maana ya UTI;
UTI ni kifupi cha maneno ya kingereza ambapo kirefu chake ni “Urinary Track Infection”,Na kwa kiswahili Maana yake ni maambukizi katika Njia na Mfumo mzima wa Mkojo,
Hapa tunajumuisha maeneo mbali mbali ikiwemo;
Kwenye kibofu cha Mkojo
Kwenye njia ya mkojo
Kwenye Figo n.k
CHANZO CHA UGONJWA WA UTI;
UGONJWA wa UTI husababishwa na wadudu wadogo sana ambao ni bakteria waitwao Escherichia coli (E. coli), wanapoingia mwilini na kuenda kuathiri mfumo wa mkojo.
Ugonjwa wa U.T.I hutibika haraka kwa mtu ambaye atatumia dawa na pia yaweza kuleta madhara makubwa isipotibika,
Dalili za Ugonjwa wa UTI
BAADHI YA DALILI ZA UGONJWA WA UTI NI HIZI HAPA
1. Kupata Maumivu makali wakati wa Kukojoa pamoja na Hali ya Mkojo kuchoma wakati unakojoa
2. Maumivu chini ya kitovu hasa hasa upande wa kushoto
3. Kupata Homa
4. Kuhisi kichefu chefu na kutapika pia
5. Kupata Maumivu ya joint,misuli ya mwili Pamoja na Viungo vyote
6. Mkojo kuchoma hasa wakati unamaliza kukojoa
7. Mkojo kuwa na Harufu sana pamoja na Rangi zisizoeleweka
8. Mwili kupata uchovu uliopitiliza hata k**a hujafanya kazi yoyote Ngumu n.k
MADHARA YA UGONJWA WA UTI;
Ugonjwa wa UTI huweza kuathiri mfumo wa uzazi, kibofu, na sehemu mbalimbali mwilini.

– Jua kwamba,ukiwa na maambukizi ya UTI za mara kwa mara ni rahisi pia kupata Magonjwa Mengine k**a Fangasi au PID n.k,

– Uke mkavu,

– kupoteza ute ute,

– Maumivu wakati wa Tendo la Ndoa

– Na Hata siku zako za Hedhi kubalika ikiwemo tatizo la Maumivu ya tumbo wakati wa Hedhi pamoja na kutoa blid nyeusi na yenye mabonge mabonge k**a Vipande vya Maini,
Ingawa dalili hii hutokea zaidi kwa Mwanamke mwenye maambukizi ya bacteria kwenye via vya Uzazi yaani Pid
KUMBUKA; Ugonjwa wa UTI huweza kusababisha madhara makubwa sana,Mfano kwa mama Mjamzito,Ugonjwa wa UTi huweza hata kusababisha Ujauzito kutoka,
hasa maambukizi yale yanapohama na kuanza kuingia sehemu ya Mji wa Mimba ambapo ndipo Mtoto alipo, UTI sugu inaweza kusababisha matatizo ya kudumu ya Kibofu cha Mkojo,Figo n.k

UTI Sugu huweza kukusababishia hata uwezo wako wa Kupata Ujauzito ukawa Ni mdogo pia.
Lakini pia matumizi ya dawa Nyingi hasa zile zenye makemiko makali huweza Kuathiri Kibofu cha Mkojo,Figo na hata kuleta Matatizo ya Ini Pia.
MADHARA YA MDA MREFU YA UGONJWA WA UTI SUGU
Nmeshataja baadhi,Japo ngoja nitoe orodha hii itakusaidia wewe kuelewa kwa Haraka zaidi

~Kuharibu kibofu cha Mkojo,Ini,pamoja na Figo

~Maumivu ya tumbo ambayo hayaishi ukiwa kwenye Hedhi na ukiwa haupo kwenye Hedhi

~Uwezo wa mwanamke kupata ujauzito kupungua

~Mimba kuharibika hasa maambukizi ya UTI yanapofika kwenye Via vya Uzazi ambapo mara nyingi huwa ni PID japo mwanzoni ilianza k**a UTI.
☑️ TIBA NA DAWA YA UGONJWA WA UTI
Tumia dawa ambazo zitafanikiwa kuwatoa kabsa hawa Bacteria,Ndyo utafanikiwa kutibu Ugonjwa wa UTI, kwahyo ili kupata tiba sahihi au dawa sahihi wasiliana na wataalam wa afya sehemu ulipo au tuwasiliane pia utapata Msaada
Namba 0719718469

10/03/2024

I have reached 800 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉

Kwa maelezo zaidi njoo inbox
04/01/2024

Kwa maelezo zaidi njoo inbox

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya kwanza:

Share