AMONI CLASS WAR

AMONI CLASS WAR Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AMONI CLASS WAR, Grocers, Dar es Salaam.

22/09/2022

HABARI NJEMA KWAWENYE MATATIZO GANZI YA MIGUU NA MIKONO(MIGUU KUWAKA MOTO

Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi utapimwa lakini awaoni tatizo tatizo lolote

NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI

1:UMRI
Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kufa, au kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali k**a miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea

2:KISUKARI
Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguuko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu halo hii husababisha mishipa kusinyaa ambalo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufadsaha maeneo ya mbali sana k**a miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi

3:DAMU NZITO
Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia

4 UZITO MKUBWA
Uzito mkubwa unaweza kupeleka kupata changamoto ya ganzi Kwa baadhi ya viungo katika mwili kutokana na damu kuwa nzito na kushindwa kusafiri vizuri katika mishipa midogo midogo kutokana na kiasi kikubwa cha mafuta kwenye njia za damu

5 KUKAA MDA MREFU
Watu wengi hupata changamoto yakupata tatizo la ganzi kutokana na kukaa sehemu moja mda mrefu bila kufanya mazoezi kutokana labda na kazi unayoifanya au sabb nyingine yoyote inayokulazimu kukaa sehemu moja mda mrefu

TIBA YA GANZI

Tuna virutubisho asilia kabisa na iliyodhibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa
-Hii ni dawa asili ya kupambana na tatizo hili bila madhara
-Imetengenezwa na mitishamba mitatu yenye uwezo mkubwa sana wa kufungua mishipa midogo midogo ya damu ambayo inapoziba au inapokua ndio chazo cha tatizo hili
-Huzuia damu isivilie kwenye mishipa hivyo kukaa sawa
Piga au sms kwa maelezo zaidi
0784280747
0678280747
USHAURI NIBURE KABISA

0784 280747
30/08/2022

0784 280747

Address

Dar Es Salaam
1615

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AMONI CLASS WAR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category