Daudi MSukwa

Daudi MSukwa tunauza vifaranga Aina
kuroiler(chotara)
wa siku 3@1300
wa siku 7@1500
wa siku 14@2500

10/12/2021

Elimu ya Ufugaji wa kuku wa chotara na kienyeji
S**i 1
Kuku wapewe majani ya
a)mlonge najani ya
b)mpapai
C)Mkaa na
d)Aloe_vera.
Mitishamba hii hukinga
1)Ndui
2)Kuhara_damu
3)Kuhara_choo_cheupe na 4)Kipindupindu_cha_kuku
*.Saga mkaa weka kwenye vijiko 10 kwa maji ya lita moja na nusu majani ya papai aloe vera mlonge twanga twanga kisha wape ila usichanganye dawa hizi kila daw na wakat wake

Siku 7
Kuku wapewe
1)Ndulele ni kinga ya *Ini*
Typhoid
twanga majani viganja 5 kwa lita moja na nusu
Siku 14
Kuku wapewe majani ya
*Mpapai
hutibu na kukinga *Minyoo
Mara hii chemsha majani kisha wape
Siku 21
Kuku wapewe
1)Mwarobaini
hukinga na kutibu *Vidonda *Kuhara na *Mafua_ya_kawida
Twanga majani viganja 4 kwa lita moja ya maji loeka kisha wape

Siku 28
Kuku wapewe
*Pilipili_kichaa
*Kutunguu_saumu
*Majivu na
*Katani
Hukinga na kutibu
*Mafua_Makali
Twanga pilipili kichaa 5 changanya na maji yenye majivu vijiko 3 maji nusu lita kisha wape ila kitunguu saumu na katani usichanganye

Siku 35
Kuku wapewe
*Aloe_vera
*Ndulele na
*Katani
Kinga ya
*Newcastle
Twaga majani ya ndulele Aloe vera na katani ila usichanganye katani matawi 2 kwa lita 1 ya maji ndulele viganja 5 kwa lita moja na nusu

Siku 42
Kuku wape majani ya
*Muembe
*Mkaa
*Mtalangonyo hukinga Gumboro Kideri
Mkaa usage kisha weka vijiko 10 kwa lita moja majani ya muembe viganja 3 kwa lita moja na nusu

Siku 49
Anza kuludia chanjo hizi pia zingatia usafi na chakula bora kwa kuku wako hutopata kuku anaeumwa hata mmoja

Shamba darasa tufuge pamoja
10/12/2021

Shamba darasa tufuge pamoja

Njoo ujifunze kuwa tajiriKisomi zaidi hata K**a unaeneo dogoUnaweza kufuga Hadi kuku 500
10/12/2021

Njoo ujifunze kuwa tajiri
Kisomi zaidi hata K**a unaeneo dogo
Unaweza kufuga Hadi kuku 500

10/12/2021

Je unamjua mtanzania anaye fuga kuku kwa wingi Zaid?

Je unamjua mtanzania anayefuga kuku kwa wingi zaidi.
10/12/2021

Je unamjua mtanzania anayefuga kuku kwa wingi zaidi.

Address

Buyuni, Chanika Ilala Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255778073946

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daudi MSukwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Daudi MSukwa:

Share

Category