Soka world wide

Soka world wide Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Soka world wide, Grocers, 0783777606, Arusha.

11/03/2024

saa 18:00 jioni kutakuwa na Mtanange mkali wa ligi kuu ya Tanzania bara( NBC) kati ya Young Africa dhidi ya mbogo maji Ihefu f.c ,Mchezo huo utachezwa katika uwanja wa Azam complex ambapo Young Africa atakuwa aki mkaribisha Ihefu..🦾🦾🦾

Kuelekea mchezo huo viongozi ,wanachama ,wachezaji na mashabiki wa young Africa wamekuwa na hasira kubwa sana kwani ikumbukwe timu hiyo ya Ihefu ili fanikiwa kuondoka na alama tatu dhidi ya Young Africa katika wa awali ulio fanyika mbalali ambapo ndipo maskani kwa timu hiyo (Ihefu)

Licha ya mashabiki,wanachama wachezaji na mashabiki wa young Africa kuwa na uchumgu mkubwa wa kuripiza kisasi ikumbukwe kuwa timu hiyo ya Ihefu imefanya usajili mkubwa kipindi cha dirisha dogo kwa kuivunja vikali timu ya Singida fountain gate hali ambayo imepelekea timu hiyo kuwa imara zaidi

Kuelekea mchezo huo timu ya young Africa inamkosa mchezaji wake muhimu katika eneo la kiungo KHALID AUCHO ambaye amefanyiwa operation ndogo itakayo mradhimu kukaa nje kwa muda wa wiki 3 je kuelekea mchezo huo unaona matokeo gani ??? Ikiwa young Africa inamkosa mtu k**a Aucho toa maoni yako

Address

0783777606
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soka world wide posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category