Castro yanga news

Castro yanga news Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Castro yanga news, Grocers, Arusha.

🟒🟑 Wananchi Official Fans Page
Mapenzi ya Yanga hayafi πŸ’š
Habari za uhakika na za moto kila siku
πŸ”₯ Tunapumua Yanga SC πŸ’šπŸ’›
Kila kinachojiri ndani ya Yanga utakikuta hapa ⚽
Follow kwa habari kali za michezo πŸ””
YANGA BINGWA HADI 2030
KWAMATANGAZO KARIBU

Manchester City are closely monitoring Vinicius’ situation at Real Madrid, as his future looks increasingly uncertain, w...
14/05/2026

Manchester City are closely monitoring Vinicius’ situation at Real Madrid, as his future looks increasingly uncertain, with his contract still yet to be renewed.

Who wants him at Man City?

πŸ“ŒπŸ“ŒHawa wachezaji wanne ije mvua ama jua, utawakuta kwenye kikosi cha Yanga ambacho kinaanza kila mchezo wa muhimu! Kuna ...
14/05/2026

πŸ“ŒπŸ“ŒHawa wachezaji wanne ije mvua ama jua, utawakuta kwenye kikosi cha Yanga ambacho kinaanza kila mchezo wa muhimu! Kuna backup kubwa inahitajika sana kwa hawa!

Wasipokuwa na mchezo mzuri katika siku husika timu inatikisika haswa!

Sasa hivi ameongezeka Allan Okello lakini bado anategemea siku yao nzuri kazini ili kufanya vizuri k**a timuπŸ‘€

14/05/2026

MECHI NGUMU ZA YANGA SC ZA KUTETEA UBINGWA WAO MSIMU HUU UWANJANI 🏟️

Wananchi Yanga SC wamebakiza mechi 7 tu za kutetea ubingwa πŸ™Œ

Hizi hapa ndio mechi tatu ngumu za Yanga SC zenye alama 9 muhimu sana kwa Yanga SC πŸ™Œ

Singida BS vs Yanga SC (Away)
Yanga SC vs Azam FC (Home)
Yanga SC vs TRA united (Home)

Kwa upande wangu hizi ndio mechi ngumu sana kwani hizo timu tatu zinao wachezaji wengi wazuri na wapambanaji uwanjani πŸ™Œ

Utulivu, heshima umoja, ushirikiano , nguvu na ufanisi uwanjani unahitajika sana wakati wa kuzisaka hizi alama 9 uwanjani πŸ™Œ

Hizi ni mechi kubwa za kudhihirisha ukubwa wa Yanga SC uwanjani πŸ™ŒπŸ”₯πŸ™Œ

14/05/2026

Mafundi

Mafanikio yanahitaji uvumilivu hasa katika nyakati ngumu.😊
14/05/2026

Mafanikio yanahitaji uvumilivu hasa katika nyakati ngumu.😊

Taarifa kutoka Afrika Kusini zinaripoti kuwa kuna kifungu Kwenye mikataba ya Wachezaji wa Mamelodi Sundowns ambapo endap...
14/05/2026

Taarifa kutoka Afrika Kusini zinaripoti kuwa kuna kifungu Kwenye mikataba ya Wachezaji wa Mamelodi Sundowns ambapo endapo watatwaa ubingwa wa CAF watapokea bonus ya Rand Million 100 ambayo ni sawa na BILLION 15 za Kibongo ambapo kila Mchezaji ataondoka na gawio la Million 150 za Kibongo.

Kiungo Jonas Mkude 'Nungunungu', amezitibua klabu za Mashujaa FC na JKT Tanzania ambazo zote zimeingia vitani kuwania sa...
14/05/2026

Kiungo Jonas Mkude 'Nungunungu', amezitibua klabu za Mashujaa FC na JKT Tanzania ambazo zote zimeingia vitani kuwania saini yake kwa ajili ya msimu ujao wa 2026/2027.

Mkude, ambaye kwa sasa hana timu baada ya kuachana na Yanga msimu wa 2024/2025, hivi karibuni alitangaza rasmi kurejea uwanjani msimu ujao, jambo lililoziamsha timu hizo za jeshi zilizokuwa zikimnyatizia tangu dirisha dogo la Januari 2026.

Allan Okello msimu huu katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ€Mechi: 17Mabao: 7Assists: 7G/A: 14
14/05/2026

Allan Okello msimu huu katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ€
Mechi: 17
Mabao: 7
Assists: 7
G/A: 14

𝐍𝐈 πŠπ„π’π‡πŽ πŒπ€πŠπ€πŽ πŒπ€πŠπ”π” π˜π€ πŠπ‹π€ππ”, π‰π€ππ†π–π€ππˆ
14/05/2026

𝐍𝐈 πŠπ„π’π‡πŽ πŒπ€πŠπ€πŽ πŒπ€πŠπ”π” π˜π€ πŠπ‹π€ππ”, π‰π€ππ†π–π€ππˆ

WACHEZAJI WA YANGA SC WANATAKIWA KUHESHIMU HISIA ZA MASHABIKI WAO UWANJANI 🏟️ Mashabiki ni rasilimali watu muhimu sana k...
14/05/2026

WACHEZAJI WA YANGA SC WANATAKIWA KUHESHIMU HISIA ZA MASHABIKI WAO UWANJANI 🏟️

Mashabiki ni rasilimali watu muhimu sana kwenye timu kubwa k**a Yanga SC πŸ™Œ

Dijgui Diarra, Prince DUBE na Mwamnyeto wanapaswa kuhakikisha wana heshimu sana hisia za mashabiki wao πŸ™Œ

Kwa jinsi walivyocheza dhidi ya Dodoma Jiji wamewaumiza sana mioyo ya mashabiki wao πŸ™Œ

Unajua upo mwisho wa msimu na kila mechi ni fainali

Mwamnyeto anakabaje k**a vile beki wa Luhende FC πŸ™Œ

DUBE kila msimu yeye ni wakukosa na kuinyima timu ushindi uwanjani πŸ™Œ

Dijgui Diarra ameota mapembe anajiona ni mkubwa kuliko timu yake kweli ??? πŸ™Œ

Mashabiki wanawachangia na hela then wanacheza utopolo uwanjani πŸ™Œ

Ifike muda hawa wachezaji wauzwe waje wenye kiu mpya ya mafanikio na Yanga SC πŸ™Œ

Yanga SC itaishi milele lakini wachezaji hawataishi milele pale Yanga SC πŸ™Œ

No respects for the team just go, others players will come to pay respects and trophies for Yanga SC πŸ†

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Castro yanga news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category