Faite

Faite When people decides to leave you for no reason,
Pls let them go,
people are like clothes,you can never be naked no matter how poor you're...😭😭😭😭
😭

Kuoa part 1 πŸ‘°πŸ€΅πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŠβœŠπŸ₯΄Nakumbuka 2020 nlikua nmefika 22yrs old,,nakula kwa mum😊like nlikua napenda sana food ya mum🧐sa ilifi...
30/05/2026

Kuoa part 1 πŸ‘°πŸ€΅πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŠβœŠπŸ₯΄

Nakumbuka 2020 nlikua nmefika 22yrs old,,nakula kwa mum😊like nlikua napenda sana food ya mum🧐sa ilifika time mum akawa ananiwekea kidogo joh,,πŸ˜žπŸ˜žπŸ™†mi nikamface tu na nikamshow,,"kwani mum hii food hata ukipea paka haitashiba na hata hii food yenyewe imelalaπŸ₯΅πŸ€¨,,joh nlishtukia kitu ikiland kwa kichwa yangu puu!!πŸ™†πŸ˜­ ,,,Na akasema tafuta bibi yako akupikie chakula zenye zimeamka,,😏😠😑Mimi usinisumbue,,,oa upike chakula yako mingi k**a za sherehe sitakuuliza,, mtcheew!πŸ₯΄utajua lini bei ya diaper 🚼😏kazi ni kukula tu na kudate tumalayaπŸ™„πŸ™„manze nlikosa cha kujibu mokoro,,,,,nikajitoa hapo nkaamua kucall cuzo yangu mwenye ako Kanairo anisakie wera,,😞Mimi huyoo🚍🚌nikajipata Kanairo,, nikfika country bus saa kumi usiku ju nlitravel mausiku,,😊dere akasema k**a umefika na unajua penye unaenda aunaeza Toka ,,nakam we ni wa kukujiwa naomba ubaki kwa gari Hadi saa mbiliπŸ™†πŸ€¨Mimi ju sikua najua penye cuzo yangu anaishi nkaamua kutulia kwa gari,,,kufika 6am ikawa gari ni k**a inataka kutoka ,,Sasa wenye tulikua tebaki ka gari tushuke tukae kwa hizo viti za stage 😏,, kidogo kidogo jamaa akakuja ndo huyu mwenye ameniibia bagπŸ§³πŸŽ’ yangu,,,kuzubaa zubaa,,nkachapwa Kofi paaa,,,, πŸ˜΅πŸ˜– hapo nkaona nitauwawa,,,,nikatimua mbioπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸ’¨,,,,,,

Ngoja kwanza nipumue nakuja na part 2 πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ€¦πŸΏβ€β™€οΈπŸ€«πŸ₯΄πŸ€£

Follow me πŸ‘‰

30/05/2026

PSG.........kichwa

Ebu tag ule rafiki yko single tumtafutie mtu πŸ’”πŸ˜‚πŸ˜‚
30/05/2026

Ebu tag ule rafiki yko single tumtafutie mtu πŸ’”πŸ˜‚πŸ˜‚

Satos are for fun and meeting new people. Hebu toka kwa nyumba wewe sio ukuta 😁😁😁
30/05/2026

Satos are for fun and meeting new people. Hebu toka kwa nyumba wewe sio ukuta 😁😁😁

Address

Mikinduri

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Faite posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category