J.O.B

J.O.B Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from J.O.B, Grocers, Kisii.

27/08/2023

Loving someone you don't see everyday is not a bad thing, it's just a proof that love is not in sight but in the heart😍😍😍😍😍😍😍

27/08/2023
19/07/2023

Kuna siku nilikua na enda USAπŸ˜‚Sasa nikiwa Kwa ndege ✈️tulikua tumekaa kiti Moja na mzungu flani hapo πŸ˜‚πŸ˜‚mzungu akawa ananiangalia sana πŸ‘€πŸ‘€nikamuuliza mbona ananiangalia Hivio akanijibu Hivi
πŸ‘‡πŸ‘‡
"k**a kunawatu wajinga duniani ni nyinyi wa africa haswa kenyan's πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nikaamuliza Kwa Nini akaniambie ndio ujue nyinyi niwajinga ebu tuulizane maswali, nikishindwa kujibu swali lako nitakupea 200k, na wewe ukishindwa na swali langu unipe 1k ,Mimi naye ni nani nikasema SawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mzungu akaniuliza Hivi
πŸ‘‡πŸ‘‡
"ni nchi ipi? ilishindwa kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia.? πŸ™†πŸ™†πŸ™† Mimi nikatoa 1k juu sikujua😭
Sasa ikawa ni zamu Yangu yakuumuuliza nikamuuliza Hivi
πŸ‘‡πŸ‘‡
nikitu Gani kikienda juu kina miguu minne na kikirundi chini kinakuwa na miguu mitatu? Mzungu akafikiria akakosa jibu akanipea 200kπŸ‘ˆπŸ˜‚lakini akataka kujua ni Nini hicho sana .
Mzungu akaniuliza Nini hicho kikienda juu kina miguu minne kikirudi kina miguu mitatu?

nikatoa 1k nikampa nikamwambia ata Mimi sijui

Sasa sisi na wazungu ni akina nani wajinga surelyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Address

Kisii

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when J.O.B posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category