31/07/2025
Bro wachana na heartbreak💔😭 umewahi Oa dem akiwa na mtoi wa below 9months then ukaanza kulisha uyo dem poa na mtoi wake..kumbuka unanunua Pampers daily😔mtoi kulilia kila wakati inabidi usaidie dem mwenyewe ju enyewe unaelewa pia yy anachoka,usiku same thing mtoi kuwasumbua so ata huwez fanya mapenzi na mamake😭then mtoi anaendelea ivo akigrow na kumbuka the more unamlea the more anakuzoea🤍then pap mtoi amefika 2yrs ama 3yrs,mtoi amejua ata kutumia poti😍so hapo wewe unajua sasa niko na familia❤mama mtoi amerudisha weight hadi mataco zimemea🍑kidogo kidogo anaanza kubehave k**a roundabouts za Kakamega uko Kwa Natembeya 🙈🤣kidogo kidogo anaanza visirani k**a mkisii na ukweli unajua Mkisii akiwa na hasira vile ubehave 🤦🏿♀️🤣 then mwishowe mnawachana💔mtoi amekuzoea,😪dem mwenyewe amekuwastia time yako💔ata ungekuwa umepea dem mimba mahali angekuwa amezaa na mkalea...ladies mnasemanga wanaume ni wale wale hamjuangi pia sisi wanaume tunapitia,what I normally say ukiona dem ako na mtoi below 1yr na anataka kuoleka kwako jua uyo anataka umsaidie majukumu✌mtacomment vibaya but its reality but dem ako na mtoi wa 3yrs and above huyo akitaka kuoleka unajua ni true love....❤😂😂 k**a umetii na kukubali chenye naongea ni ukweli follow my page please usipite bila kufollow Tafadhali 😭😭😭😭 💪❤️❤️
Follow me 👉 mosesRyder