engmo Zanzibar

engmo Zanzibar good idea

20/12/2025
09/11/2025

hahhahahahhaha

09/11/2025

karibuni sana

Hakuna mipango,hakuna utambulisho,hakuna pressure kwenye mpira,confidence ya Wachezaji imeshuka na mbaya zaidi Wachezaji...
18/10/2025

Hakuna mipango,hakuna utambulisho,hakuna pressure kwenye mpira,confidence ya Wachezaji imeshuka na mbaya zaidi Wachezaji hawapewi Plan B ya kubadilisha mchezo.

Ukweli ni kwamba Yanga ya msimu huu inashinda kwa uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja ila benchi la ufundi halina uwezo wa kuibeba hii timu.

Timu imefungwa goli ambalo wapinzani wamepiga pası 4 tu,hakukuwa na pressure ya kuzuia hiyo hatari,Yanga ya Folz iko Passive sana mpinzani akikaza kidogo mashimo yanaonekana.

Mbaya zaidi timu ikiwa na mpira huoni swagger wa uthubutu….unajiuliza goli litatoka wapi.

Yanga ya Jana Siyo tena ya leo😄🖐️

Anaandika engmo Zanzibar

Address

Zanzibar
2000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when engmo Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category