Zanzibar viwanja na nyumba

Zanzibar viwanja na nyumba Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Zanzibar viwanja na nyumba, Grocers, Zanzibar south tunguu, Zanzibar.

08/09/2025

Masta na ukumbi inajitegemea ipo jumbi sokoni dakika 2 kutoka barabarani kodi laki na 30 agent fee mwezi mmoja miezi 6 kupokea

🌴 PLOT FOR SALE – MICHAMVI KAE 🌴A golden opportunity to own land just 300m from the beach!πŸ“ Michamvi Kae – Along main ro...
17/06/2025

🌴 PLOT FOR SALE – MICHAMVI KAE 🌴

A golden opportunity to own land just 300m from the beach!

πŸ“ Michamvi Kae – Along main road, peaceful & scenic
πŸ“ Size: 75m x 50m
πŸ’§ Utilities: Water & electricity nearby
πŸ’° Price: TZS 90M (β‰ˆ $34,500) – Quick sale, price dropping!

βœ… Ideal for residential or investment
βœ… Prime beachside location
βœ… Negotiable – let’s talk!

πŸ“© DM for more info – don’t miss this!

ENEO LINAUZWA – KENDWA (KARIBU NA BAHARI, BARABARA LAINI YA PILI)🌍 Eneo linapatikana Kendwa, karibu sana na ufukwe na li...
14/06/2025

ENEO LINAUZWA – KENDWA (KARIBU NA BAHARI, BARABARA LAINI YA PILI)

🌍 Eneo linapatikana Kendwa, karibu sana na ufukwe na liko kwenye barabara laini ya pili – mahali pazuri na tulivu.
πŸ“ Ukubwa: Mita 50 kwa 50
πŸ”Œ Umeme wa uhakika (three phase) tayari umeunganishwa.
🧱 Limezungushiwa fensi tayari – salama na tayari kwa matumizi.

πŸ”Ή Linalofaa kwa shughuli mbalimbali k**a vile:

Ujenzi wa nyumba za kuishi au kupangisha

Hoteli au nyumba za wageni

Biashara za kitalii au uwekezaji mwingine

πŸ“ Mahali kimkakati, utulivu na karibu na huduma muhimu.

πŸ’° Bei: TZS milioni 300 tu
⚠️ Wateja wengine tayari wanapita kulikagua – wahi kabla halijaondoka!

πŸ“ž Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kupanga kuona eneo.

18/03/2025

KIWANJA KINAUZWA - MWERA
Kiwanja kinapatikana Mwera, karibu na kituo cha polisi. Kiko katika mstari wa pili kutoka barabara kuu, na gari linaweza kufika hadi ndani ya kiwanja.
πŸ“ Ukubwa: Futi 55 Γ— 50
πŸ’° Bei: TSH 7 Milioni tu!
Usikose fursa hii ya kumiliki ardhi yako. Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kwa mazungumzo ya biashara tu.
πŸ“ž Serious buyers only!

NYUMBA INAUZWA – BANDA LA KISASA BUNGIUnatafuta makazi mazuri yenye utulivu na mandhari ya kuvutia? Hii ndiyo nafasi yak...
17/03/2025

NYUMBA INAUZWA – BANDA LA KISASA BUNGI

Unatafuta makazi mazuri yenye utulivu na mandhari ya kuvutia? Hii ndiyo nafasi yako!

➑ Bei: TSH Million 15
➑ Mahali: Bungi, karibu na barabara kuu (dakika 3 tu)
➑ Ufukweni: Dakika 5 tu kutoka beach
➑ Nyumba: Imejengwa kwa ubora, tayari kwa matumizi
➑ Mazingira: Ukumbi mzuri, eneo lina fence kubwa kwa faragha na usalama
➑ Maendeleo: Mawe tayari kwa upanuzi au marekebisho

Usikose fursa hii! Piga simu sasa kwa maelezo zaidi na mpango wa kutembelea nyumba.

NYUMBA 3 ZINAUZWA HARAKA – PAJE, ZANZIBAR 🏑🌴Tunakuletea fursa ya kipekee ya kumiliki nyumba 3 zilizokamilika, zikiwa nda...
05/03/2025

NYUMBA 3 ZINAUZWA HARAKA – PAJE, ZANZIBAR 🏑🌴
Tunakuletea fursa ya kipekee ya kumiliki nyumba 3 zilizokamilika, zikiwa ndani ya fensi moja huko Paje, Zanzibar. Nyumba hizi ni FULLY FURNISHED na zinafaa kwa makazi au biashara k**a rental property au holiday homes.

SIFA ZA NYUMBA:

βœ… Kila nyumba ina:

Vyumba 2 vya kulala πŸ›οΈ

Sebule kubwa πŸ›‹οΈ

Chumba cha kulia chakula 🍽️

Jikoni ya kisasa (Open Kitchen) 🍳

Samani zote za kisasa (Full Furnished) 🏠

βœ… Eneo lina:

Bwawa la kuogelea (Swimming Pool) 🏊

Bustani kubwa na sehemu kubwa ya wazi 🌿

Usalama wa hali ya juu (Ndani ya fensi) πŸ”’

πŸ’° BEI: $285,000 USD (Tayari kwa makabidhiano haraka)
Hati zote za umiliki (Documents) zipo tayari! πŸ“ƒπŸ“ƒ
Hii ni fursa adimu – Nyumba hizi zinauzwa kwa bei ya punguzo kubwa ili mmiliki alipe deni lake la benki. Mawasiliano ya haraka yanahitajika kwa walio tayari kufanya biashara fasta!
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa ili kutembelea na kujadiliana!

A/allaykum tumekata viwanja vipya location kijichi hivi viwanja havipo mbali na barabara dakika Moja tu kufika vilipo vi...
02/03/2025

A/allaykum
tumekata viwanja vipya
location kijichi hivi viwanja havipo mbali na barabara dakika Moja tu kufika vilipo viwanja
maji yapo umeme pia upo
na gari inafika mpk kwenye viwanja

70 kwa 50 bei Milioni 5 na nusu mwisho Milioni 5 tu vipo (vi4)

60 kwa 50 bei Milioni 6 mwisho Milioni 5 na nusu tu vipo(6)

50 kwa 50 bei Milioni 4 na nusu mwisho Milioni 4 tu vipo (9)
karibuni πŸ™

VIWANJA VYA BEI POA KIBELE – USIKOSE NAFASI HII!Unatafuta kiwanja chako kwa bei nafuu na mazingira bora? Hii ndio nafasi...
02/03/2025

VIWANJA VYA BEI POA KIBELE – USIKOSE NAFASI HII!
Unatafuta kiwanja chako kwa bei nafuu na mazingira bora? Hii ndio nafasi yako! Tunakuletea viwanja vya Kibele kwa Shein vya ukubwa wa futi 60 kwa 60 kwa bei ya kipekee – MILIONI 4 TU!
βœ… Full Documents – Hakuna usumbufu!
βœ… Site Plan Tayari – Unajua kabisa unapopata kiwanja chako!
βœ… Malipo kwa Awamu – Lipa nusu kisha malizia taratibu!
Usikubali upitwe na ofa hii kabambe! Njoo uchukue chako mapema kabla havijaisha. Wahi Sasa!
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi leo!

3.8mGood conditions πŸ”₯CleanπŸ”₯Android tv πŸ”₯Speaker πŸ”₯Ac fullπŸ”₯PassπŸ”₯
02/03/2025

3.8m
Good conditions πŸ”₯
CleanπŸ”₯
Android tv πŸ”₯
Speaker πŸ”₯
Ac fullπŸ”₯
PassπŸ”₯

Address

Zanzibar South Tunguu
Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar viwanja na nyumba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category