TABC

TABC Training farmers and agri business

Mradi wa vitunguu maji umeanza mkuranga mkoa wa pwani.Hutua ya kitalu makadilio ya kupanda 15/2/2026Karibu kujifunza hat...
01/02/2026

Mradi wa vitunguu maji umeanza mkuranga mkoa wa pwani.
Hutua ya kitalu makadilio ya kupanda 15/2/2026
Karibu kujifunza hatua kwa hatua..rajab .rhodes

Vitunguu maji.Makadirio ya kuvuna mwezi 2-3
30/12/2025

Vitunguu maji.
Makadirio ya kuvuna mwezi 2-3

Hybrid seeds Pendo f1 Inavumilia mnyauko na bakajani wai (madoa kwenye majani kipindi cha mvua)Inakaa muda mrefu bila ku...
30/12/2025

Hybrid seeds
Pendo f1
Inavumilia mnyauko na bakajani wai (madoa kwenye majani kipindi cha mvua)
Inakaa muda mrefu bila kualibika na ina safirishika ndani na njee ya nchi

Hybrid seeds.Mbegu chotara inayo vumilia virusi na inazaa sana
16/12/2025

Hybrid seeds.
Mbegu chotara inayo vumilia virusi na inazaa sana

Hybrid seeds ANNABELLA F1 Export quality. High production (quantity) 100×115mm size Good price Package 10gram and contin...
29/11/2025

Hybrid seeds ANNABELLA F1
Export quality.
High production (quantity)
100×115mm size
Good price
Package 10gram and continue.

Zao : vitunguu maji Eneo : kisarawe. mkoa wa pwani Hatua ya upandaji  karibu kujifunza kwa njia ya simu au uje shamba ku...
13/11/2025

Zao : vitunguu maji
Eneo : kisarawe. mkoa wa pwani
Hatua ya upandaji karibu kujifunza kwa njia ya simu au uje shamba kujionea na ujifunze.
.international

Furaha ya maisha kupata kitu ambacho ulitalajiaroot
11/10/2025

Furaha ya maisha kupata kitu ambacho ulitalajiaroot

11/10/2025
mpangilio wa mzuri wa shambani una faida nyingi.mafano wa faida.1, kujua idadi ya miche shambani2, kutambua wadudu famiz...
27/08/2025

mpangilio wa mzuri wa shambani una faida nyingi.
mafano wa faida.
1, kujua idadi ya miche shambani
2, kutambua wadudu famizi kwa halaka
3, kujua kiwango cha mavuno

Muda wa mavuno unakaribia.Kila jitihada inayonwekwa inakuwa na uvumilivu na subra na walio ngojea na kuwa na subra wanap...
22/07/2025

Muda wa mavuno unakaribia.
Kila jitihada inayonwekwa inakuwa na uvumilivu na subra na walio ngojea na kuwa na subra wanapata kilicho bora

Marketable
12/07/2025

Marketable

Address

Vikongoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TABC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TABC:

Share