Rommy-gram-gk

  • Home
  • Rommy-gram-gk

Rommy-gram-gk ROMEO GK | official
Personal Brand LifeStyle
� Tanzania
�for inquiries /Wasiliana: DM

🗣️🎙️Paul Pogba:“Wakati mwingine watoto wangu hulalamika wakiwa hapa Ulaya. Nawaambia: ‘Nitawapeleka tena Afrika ili muon...
19/03/2026

🗣️🎙️Paul Pogba:

“Wakati mwingine watoto wangu hulalamika wakiwa hapa Ulaya. Nawaambia: ‘Nitawapeleka tena Afrika ili muone maisha ya shida yalivyo.’

Mimi nilikulia kwenye maisha ya uhaba, si maisha ya kutafuta visingizio. Nilijifunza kupambana na kujituma, si kusubiri mafanikio yaje yenyewe. Hiyo ndiyo ilinifanya nifikie kuwa mchezaji mkubwa wa soka.

Hicho ndicho ninachotaka watoto wangu wajifunze: wasichanganye maisha ya raha na kudhani kila kitu ni haki yao.

Sijali k**a watachagua soka, muziki au kipaji kingine chochote wanachokipenda. Kitu ninachotaka tu ni wawe na hamu ya mafanikio — hamu ya kukua, kujituma na kuwa na shukrani.

Nyumbani kwangu, chakula lazima kimalizwe kwenye sahani. Kila mara. Kwa sababu najua maana ya kulala njaa.

Sitaki watoto wangu wawe tu matajiri. Nataka wawe watoto wanaojua thamani ya maisha, hata k**a wanaishi kwenye mazingira ya neema na fursa nyingi.”

Hivi unajuwa kuwa mtoto wa VICTOR OSMEN ni shabiki wa baba ake kinoma , kiasi ambacho mpaka ametengenezewa kinyago cha k...
15/03/2026

Hivi unajuwa kuwa mtoto wa VICTOR OSMEN ni shabiki wa baba ake kinoma , kiasi ambacho mpaka ametengenezewa kinyago cha kuvaa k**a cha baba ake na mara nyingi Sana amekuwa akiingia nae uwanjani akiwa amembeba.

Mwaka 2019  Philippe Coutinho alitolewa kwa mkopo na FC Barcelona kwenda FC Bayern Munich  msimu wa 2019/20. Kiungo huyo...
11/03/2026

Mwaka 2019 Philippe Coutinho alitolewa kwa mkopo na FC Barcelona kwenda FC Bayern Munich msimu wa 2019/20.

Kiungo huyo wa Brazil alienda kwa mkopo wa mwaka mmoja wenye option ya kununuliwa ila mwisho wa msimu mambo yakawa ya kihistoria:

-Bayern walitwaa Bundesliga
-Walishinda DFB-Pokal
-Na pia wakachukua UEFA Champions League

Lakini pia Bayern walishinda mechi zote 9 walizocheza kwenye Champions League msimu huo,wakaondoka na treble.

Sasa miaka 6 baadaye kuna hali inayofanana kidogo hapa.
Piero Hincapié ametolewa kwa mkopo na Bayer Leverkusen kwenda Arsenal mnamo Septemba 2025, kwa mkopo wa msimu wa 2025/26 wenye pia option ya kumnunua moja kwa moja.

Hadi sasa mambo yanaonekana kwenda vizuri kwa Arsenal✅️

-Wameshinda mechi zote 8 za hatua ya makundi ya Champions League.
-Wapo Round of 16 ya Champions League.
-Wamefika fainali ya Carabao Cup.
-Wanaongoza Premier League.
-Wako robo fainali ya FA Cup.

Vipi! historia inaweza ikajirudia k**a ilivyokuwa kwa Coutinho na Bayern kweli🤔

🌟 𝐏𝐀𝐒𝐓 𝐕𝐒 𝐅𝐔𝐓𝐔𝐑𝐄, 𝐖𝐇𝐎 𝐖𝐈𝐍𝐒? 🤔
09/03/2026

🌟 𝐏𝐀𝐒𝐓 𝐕𝐒 𝐅𝐔𝐓𝐔𝐑𝐄, 𝐖𝐇𝐎 𝐖𝐈𝐍𝐒? 🤔

Kylian Mbappé with his new girlfriend Ester Expósito together in Paris. ❤️🇫🇷
09/03/2026

Kylian Mbappé with his new girlfriend Ester Expósito together in Paris. ❤️🇫🇷

Milan dominate the Derby della Madonnina this season, winning both games in the league 1-0 😮‍💨🔴⚫️
08/03/2026

Milan dominate the Derby della Madonnina this season, winning both games in the league 1-0 😮‍💨🔴⚫️

Vamos 🚶
23/02/2026

Vamos 🚶

19/01/2026

Morocco 😂😁

Watu Mnatembea na utajiri
17/01/2026

Watu Mnatembea na utajiri

12/01/2026

😂😂🤣🤣

Address


211XX

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rommy-gram-gk posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rommy-gram-gk:

  • Want your business to be the top-listed Grocery Store?

Share