Negger Sounds

Negger Sounds Music production

🚩Tamer Dorry, mkufunzi wa FIFA, akiendesha mafunzo ya Kozi ya VAR awamu ya nne katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es S...
21/04/2026

🚩Tamer Dorry, mkufunzi wa FIFA, akiendesha mafunzo ya Kozi ya VAR awamu ya nne katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ikiwa na mwendelezo wa kuboresha ligi kuu nbc primier League kutarajia kutumika kwa VAR kwenye mechi za ligi kuu.

20/04/2026
Vannilla ameeleza kuwa ni ngumu sana kwa msanii kuiga maisha anayo ishi Alikiba, Vannilla anasema ukifosi kuishi k**a an...
20/04/2026

Vannilla ameeleza kuwa ni ngumu sana kwa msanii kuiga maisha anayo ishi Alikiba, Vannilla anasema ukifosi kuishi k**a anavyo ishi Alikiba basi ni lazima utaumia tu.

Vannilla anasema sababu kuu ni kwamba Alikiba anaishi maisha ambayo amebarikiwa na mwenyezi Mungu, yani kuna vitu mtu anavyo vya kipekee kiasi kuwa haviwezi kuigika kiufupi ni vitu vya kipekee ambavyo mtu amepewa na mwenyezi Mungu.

20/04/2026

Wanaharakati wengi Wa Zanzibar wanaoitaka Zanzibar yao ijitenge na Tanganyika, wanatakiwa kujua endapo Tanzania Bara itajitenga nao, basi watakuwa gizani daima kwa sababu umeme wote unaowaka huko unatokea Bara.

Na mbaya zaidi visiwa hivyo havina ukaribu wa kijiografia na nchi nyingine za karibu zinazoweza kuwapa umeme zaidi ya Tanzania Bara.

Kwa kutumia cable za chini ya maji, umeme wenye Kilovoti 132 unatokea Ras Kiromoni (Dar es Salaam) hadi Mtoni (Zanzibar).

K**a hiyo haitoshi umeme mwingine wa Kilovoti 33 unatokea Tanga - Majani Mapana hadi Pemba- Ras Mkumbuu maana yake basi visiwa vyote hivyo vinawashwa taa, vinachaji simu, vinaendesha viwanda kwa umeme wa Bara.

Je, Watakachokosa wa Tanzania Bara kutoka Zanzibar ni kipi hasa cha kuwasikitisha?

Address

Muscic
Shanti Town

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Negger Sounds posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category