Officialkalezu

  • Home
  • Officialkalezu

Officialkalezu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Officialkalezu, Grocers, [email protected], .

07/08/2022
✈️✈️✈️✈️
02/08/2022

✈️✈️✈️✈️

Mtu aliyezoa kupewa ana lawama nyingi kuliko aliyezoa kutoa!.. Jifunze kuwa mtoaji mzuri, hutolaumu watu,Na utapunguza m...
21/06/2022

Mtu aliyezoa kupewa ana lawama nyingi kuliko aliyezoa kutoa!..
Jifunze kuwa mtoaji mzuri, hutolaumu watu,
Na utapunguza matarijio makubwa kutoka kwa watu wengine

13/06/2022

Wachambuzi wa mchongo wana fulahisha kweli

Rafiki mzuri ni yule mwenye uwezo wa kutaja jina lako kwenye chumba cha fursa Urafiki sio kuitana twin, shost, frend,mse...
13/06/2022

Rafiki mzuri ni yule mwenye uwezo wa kutaja jina lako kwenye chumba cha fursa
Urafiki sio kuitana twin, shost, frend,msela, homeboy, damu yangu sijui blood....?
Good morning

12/06/2022

Wachambuzi wa mchongo na wao hawapo mbali
Sana usajili

12/06/2022

Fujo za usajili sokoni mwenye panga shoka kali✔️
Ghafla injinia hers kawa mafia sana ehh!!

08/06/2022

Nje chama lako liko kweny bonasi gan hapo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Officialkalezu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Grocery Store?

Share