18/02/2026
🕊️ KWA MAJONZI MAKUBWA TUNAWAOMBOLEZA 🕊️💔
Salam zangu za pole natoa kwa wana kijiji cha Makuyuni wilaya ya Korogwe mkoani Tanga kwa kuondokewa na wapendwa wao ndugu jamaa na marafiki katika harakati za utafutaji na kukumbwa na umauti kwa kufukiwa na kifusi cha mchanga.
Allah awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu 🙏
Tanga Moja Hio