30/09/2024
Kila mtu ni muhimu kulingana na kusudio na lengo la uwepo wake kwa mfano kiwembe kina ukali lakini hakiwezi kukata mti na pia shoka lina nguvu na imara lakini haliwezi kukata nywele.
Maisha haya tunategemeana kwahiyo usimdharau mtu kwa hali yoyote ile kwasababu huwezi kuwa yeye