Nice's Business

Nice's Business Tunauza Cake za harusi, birthday, na Vitenge na bidhaa zingine zote

Najikubali mwenyewe jamani Mungu akinioenda inatisha wewe usiponipenda kimpango wako
21/06/2024

Najikubali mwenyewe jamani Mungu akinioenda inatisha wewe usiponipenda kimpango wako

10/06/2024

π˜π€ππ†π€ πˆπŒπ„πˆππ†πˆπ€ 𝐇𝐀𝐒𝐀𝐑𝐀 🏜️..

"Wakati Mwingine hata k**a Unasema hauna Fedha Unataka Kuona Ubora wa Wachezaji Kubali Kulipa hata 10,000 kwa sababu Fedha hiyo ndiyo Inakwenda Kuisadia Klabu Yako.

"Uache Kuiunga Mdomo tu 'Babha Babha Bha' lakini Kule Uwanjani Auendagi hakuna Chochote Unacho saidia Pia Klabu Kuruhusu Kuingia watu bure sio sawa.

Β©Salehe Jembe

Mchambuzi wa Masuala ya Soka na Mwanachama wa Klabu ya π’π’π¦π›πš.

Kila iitwapo Leo nauona ukuu wa Mungu kunipa wewe Uzao wangu wa kwanza kifungua Tumbo langu, nililia leba zaidi ya Masaa...
10/06/2024

Kila iitwapo Leo nauona ukuu wa Mungu kunipa wewe Uzao wangu wa kwanza kifungua Tumbo langu, nililia leba zaidi ya Masaa kumi machozi yangu yaliambatana na furaha yakukuona mwanangu, Tulikupa jina bado uko tumboni ulikuwa ukinipiga mateke nikikuita naukatulia, nikikumbuka tulikotoka nabaki kumshukuru Mungu kwa baraka hii ya pekee, ukiwa unatimiza miaka kumi sasa Mungu wangu akulinde, akupe afya njema, akufanye kichwa na sio mkia, Happy birthdayπŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽπŸŽπŸŽπŸŽ kipenzi changu

Address

Kibondo
Kibondo
47418

Telephone

+255754494555

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nice's Business posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nice's Business:

Share

Category