SONGA MBELE CHOIR

SONGA MBELE CHOIR Salam zetu sisi ziwafikie kwaya SONGAMBELE karibu kuungana kutangaza jina la Yesu Kristo S.N.CH

10/11/2025

kazi hakuna tena

2020nakumbuka ikifika jumapili tulikua tukivaa vizuri na kwenda kanisani kuona k**a tutasifiwa hivi ukienda kanisani una...
10/11/2025

2020

nakumbuka ikifika jumapili tulikua tukivaa vizuri na kwenda kanisani kuona k**a tutasifiwa
hivi ukienda kanisani unaenda kufanya nini huko?🤔🤔🤔

10/11/2025
Hakuna siku ya furaha k**a siku ya harusi 👰💒💍
10/11/2025

Hakuna siku ya furaha k**a siku ya harusi
👰💒💍

10/11/2025
   Samweli 22:6-9Kamba za kuzimu zilinizunguka; Mitego ya mauti ikanikabili. Katika shida yangu nalimwita BWANA, Naam, n...
08/11/2025



Samweli 22:6-9
Kamba za kuzimu zilinizunguka;
Mitego ya mauti ikanikabili.

Katika shida yangu nalimwita BWANA,
Naam, nikamlalamikia Mungu wangu;
Naye akaisikia sauti yangu hekaluni mwake,
Kilio changu kikaingia masikioni mwake.

Ndipo nchi ilipotikisika na kutetemeka,
Misingi ya mbinguni ikasuka-suka
Na kutikisika, kwa sababu alikuwa na ghadhabu.

Kukapanda moshi kutoka puani mwake,
Moto ukatoka kinywani mwake ukala;
Makaa yakawashwa nao.

08/11/2025



SOMO LA LEO 22:4


Nitamwita BWANA astahiliye kusifiwa;
Hivyo nitaokoka na adui zangu

ndugu yangu mwamini mungu peke yake ndiye awezaye kukuokoa katika jaribu ulilonali k**a unaamini hivyo sema NIOKOWE MUNGU

BWANA YESU ASFIWE MPENDWA
20/10/2025

BWANA YESU ASFIWE MPENDWA

Address

Kasulu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SONGA MBELE CHOIR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category