SIRI za dunia

SIRI za dunia Huu ni ukurasa unaokufunza,unaokuchochea kujua,unaokuondoa fikra potovu na kukupa funguo halisi.

19/10/2024

MWANAMKE HALISI,HUTOA NGONO KWA MWANAUME MWENYE HADHI YA MUME WAKE,
ILA MWANAUME ANATOA NGONO KWA MWANAMKE ALIYE TAYARI.

MWANAUME HALISI ANAOA MWANAMKE MWENYE VIGEZO VYA KUITWA MKE WAKE,
ILA MWANAMKE ANAOLEWA NA MWANAUME ALIYE TAYARI.

21/10/2023

KAA MAKINI NA NDUGU AU RAFIKI ANAYEKUKOSOA KOSOA TU BILA KUKUSAPOTI.
Nazungumza hapa na Watu wazima na siyo Watu wasiyo na utimamu wa akili.

Angalisho Sana na Watu wanaokuweka mdomoni ukifeli. Lakini kwa wakati unaitaji maendeleo hawajitokezi kukupa wazo lolote lile. Unajua kwa Nini???
Wanataka Sana kuona kilio chako badala ya furaha yako.Sasa hao siyo ndugu au rafiki Bali na MAADUI usiyowatambua kwenye mzunguuko wako wa kimaisha.
Kaa mbali na Watu hao maana ni Sumu kwako. Hauwezi kamwe KUFANIKIWA ikiwa unawasogeza wajue hata kidogo kuhusu maisha na MIPANGO yako.

Wao ndiyo kikwazo Cha maendeleo yako.
Hata unapotaka kuoa au kuolewa,ukiona mtu anasifiwa Sana na ndugu au rafiki zako,jua huyo unatakiwa kumchunguza zaidi. Maana kamwe hakuna mtu anataka UFANIKIWE ZAIDI yake. Sasa ukiona huyo ndo amependwa Sana,yaani huyo si muhimu kwako.
Kumbuka tunaishi katika dunia ya Watu wanaotutakia mabaya badala ya mazuri.

Unataka kuoa au kuolewa??
Unataka kufungua biashara????
Unataka kununua gari?????
Unataka kuwa mgombea sehemu Fulani????
Unataka kusafiri kwa ajili ya kazi????
Unataka kujenga nyumba yako ya kuishi au hoteli??????

NYAMAZA KIMYAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Usitafute pesa,kwa maana utakufa maskini.Tafuta vitu ili uwe tajiri
10/06/2023

Usitafute pesa,kwa maana utakufa maskini.
Tafuta vitu ili uwe tajiri

21/05/2023

AINA ZA NGONO.

Kwanza kabisa nitangulize msamaha kwa Yale nitakayosema ikiwa nitakeuka utaratibu wa maadili.
Lakini ningeomba uvumilivu kidogo kwa maana Leo nazifichua Siri ambazo wengi hawazijui.
Kwa sababu kwenye NGONO Kuna aina nyingi Sana AMBAZO zinaumiza Watu wengi bila wao kujua.
Tega sikio nikuambiye usichokijua kuhusu NGONO.
1. NGONO YA KIKAHABA.

Hii ni aina ya NGONO wanawake hufanya kwa kutafuta riziki aidha maotelini au kwenye maeneo penye nyumba za kuuza vinywaji.

Hawa wanakidhi maitaji Yao kwa njia hiyo bila kuangalia madhara yatakayowapata kisaikolojia na hata kiafya.
Kwanza wanaharibika kabisa kizazi na kule kukutana na Wanaume wenye saizi tofauti za maumbile ya uzazi,pili kuifanya akili yake kupunguza zaidi na hapa Sasa anaona bila hiyo biashara hawezi kukidhi maitaji yake,tatu familia yake hasa Watu wenye utimamu wa akili,wanamtenga kabisa.

2.UMALAYA.
Umalaya ni aina nyingine ya NGONO kwa Watu wanaotumia s*x zao ili kukidhi haja zao za mwili bila kujali mtu,Wala si kwa ajili ya mahitaji ya kifedha Bali tu kutoweza kuridhika na mtu mmoja. Na hii huja kwa watu wa jinsia zote pindi wanapopenda kuishi na mausiano ya kimapenzi na Watu tofauti.
Madhara yake ni makubwa maana inawafanya wahusika washindwe kupata vigezo SAHIHI vya kumpata mwenzi wa maisha,pili wasirizike na mume au mke mmoja pindi akifunga ndoa.

3.NGONO YA RUSHWA
Hii ni aina ya NGONO ambayo muhusika ana lengo la kupata kitu kutoka kwa muhusika mwenzake.
Mfano mmoja ni utafutaji kazi,au fursa nafasi ya kutaka kumuona mtu fulani. Hii ndiyo NGONO ya RUSHWA. Na hii inafanywa Sana wasomi kwa kutafuta nafasi za juu kwenye makampuni,au kufaulu mitihani,wakati mwingine kupita kwenye interview wanapotafuta ajira.
Madhara yake,ni makubwa Sana Tena Sana maana wanaume au wanawake huwa na ndoto za kumpata mwenzi mwenye viwango vya juu vya mafanikio ya kimahisha. Na akimkosa anabaki nyumbani au anazalishwa tu,au anazaa tu ikiwa ni mwanaume,na Kila anayekuwa naye kimahusiano yeye humtoa kasoro. Ndiyo sababu kubwa ya wanaume na wanawake wenye elimu huchelewa kuolewa au kuoa.
4.NGONO YA KULELEWA.

Hii Watu hufanya kwa kulenga utatuzi wa shida zao na kukidhi maitaji Yao. Ndiyo maana utakuta kijana wa miaka ishirini analelewa na jimama la miaka hamsini,au Binti wa miaka hii hii anaburuzwa na mzee mwenye miaka sitini.
Kwa maana hiyo,huyu kijana hutokewa na bahati au mkosi.Bahati ikiwa huyu mama atampa kiasi Cha fedha na awe na uhuru wa kuweza kuzimiliki bila mipaka ya kuzitumia,pili kupata balaa endapo hili limama au libaba litamtumia tu kwa ajili ya kumaliza haja zake.

Itaendelea....

14/05/2023

TALAKA NI USHETANI.
Kilichounganishwa na Muumba ,mwanadamu asikitenganishe.
Kwa hiyo wanandoa huunganishwa kwa damu na siyo kwa karatasi.

Utaskia Watu Wana vyeti vya ndoa,je chuo chake au shule yake Iko wapi????

Kaa MAKINI usipishane na Muumba live.

Utapataje Cheti na hujasomea hicho kitu????

Cheti kingekuwa kinatoka baada ya ndoa kuhimarika.
Ikivunjika munapewa Cheti kingine. Kinaitwa TALAKA. Hivi talaka inatenganisha damu?????

Ukitaliki na kuoa Tena umezini.
Siyo Mimi nasema,ni Masihi msaliwa wa kwanza.
Jumapili njema

16/04/2023

IJUE DUNIA ILIVYO LEO.

Tangia miaka ya nyuma kwenye Karne za Kati ambapo ni kipindi kinaitwa Cha Karne za Kati (moyen age),Mpaka Leo hii,dunia ilianza kupata mabadiliko kwa kuelekezwa vibaya na Watu wa magharibi. Maana walikuja Afrika kujifunza ustaarabu wa kiafrika,yaani maarifa kiujumla kwa lengo la kuitawala Dunia.

Huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa biashara ya utumwa,uuzaji wa viungo vya Watu,na machafuko makubwa ya kivita.

Ilivyofika kipindi Cha uvumbuzi wa viwanda,wakaita "wakati maendeleo"(temps moderne).
Hiki ni kipindi ambacho hawa Watu wa magharibi walianza kutembelea sehemu za mbali za Dunia ili kueneza utamaduni wao,fikra zao na utawala wao duniani. Ndicho kipindi Cha kuita Majina maeneo wakidai wao ndiyo wamegundua.

Mfano,ziwa Victoria Linalopatikana Kati ya Tanzania,Kenya,na Uganda. Unajua jina lake halisi linaitwaje?????Jina lake halisi linaitwa ZIWA NYANZA.
Usiseme sijakuambiya. Kwa hiyo ukiita Tena Victoria yaani unasitawisha ukoloni wa mzungu.
Hapo ndo kipindi nchi yako ilibadilishwa jina na kuitwa Brazzaville, Cameroon,nk.
Unazani walifanya wasichokijua????
La hasha!!!!Walifanya wanachojua kwa sababu huu ndiyo UTAWALA wa maeneo. Likipachikwa jina kwenye eneo lenu ,jua kwamba Kuna roho imekuja kupachikwa hapo kwenu iitawale iliyokutaniwa. Ndiyo maana wanaotambikia Sasa hivi Kila eneo kunaonekana viumbe weupe badala ya weusi.

Hiki pia ndicho kipindi walileta dini Afrika.
Dini hii haikuwa na lengo la kufundisha uwepo wa Muumba Bali walifundisha dini kwa maslahi Yao kulingana na maelekezo waliopewa na watawala wao.

Ukitaka kupata uhakika wa hili,uliza wazee wako wakualbiye jinsi madini yalivyo pigwa marufuku na wamishonari. Na yalionekana dhambi kabisa kuliko uzinzi na wizi.

Kuwa tajiri kwa mtu mweusi alikuwa uadui wa Mungu maana ilikuwa rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri mweusi kuingia katika ufalme wa Mungu.

Ndiyo maana mpaka Leo hii ukiwa tajiri katika madhehebu yetu,unaitwa shetani.

Kuanzia hapo ndipo weusi tulitekwa mateka kwa kuwekwa watumwa na kutumikishwa kazi ngumu,ndicho chanzo Cha weusi kuonekana Amerika.

Swali ngumu ni kwamba,kwa Nini weusi kupelekwa utumwani na mataifa ya magharibi wakishirikiana na Watu wa mashariki???

Jibu ni kwamba weusi ndiyo viumbe halisi vya hii dunia. Maana mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa mweusi.
Sasa ndiyo maana uutasoma kwenye Mwanzo 3:21, katika maandiko matakatifu,utakuta uadui uliwekwa Kati ya kizazi Cha mtu na kizazi Cha nyoka.
Na kizazi hiki Cha nyoka kinapambana dhidi ya utaratibu ambao sisi tulipewa na Muumba.
Amri zinavunjwa ovyo,zinawekewa vikwazo Kila iitwapo Leo.
Sasa hivi kumkazia shoga macho ni kosa kubwa la kufungwa gerezani kuliko kuiba Mali za umma.

Haki zinaendelea kuundwa kuwa nyingi,mpaka za Watu kufunga ndoa na wanyama.
Lakini haki hakuna ya mtu kutetea uhuru wa kusikilizwa na watawala serikalini.

Kwa kuwa mpaka Sasa tunatawaliwa na wazungu wenye ngozi nyeusi ,hawana lingine tofauti na kufurahisha mabwana zao.

Kwa Sasa ni wakati wa muafrika kuzivunja zile nyororo kichwani mwake ili arudiliye ustaarabu wake pamoja na kumuabudu Muumba katika roho na kweli.

24/03/2023

USITAFUTE PESA ILI UPATE VITU,TAFUTA VITU UPATE PESA.

Makala hii itakuchanganya kidogo msomaji wangu lakini piga moyo konde utaelewa tu.

Pesa hutafutwa na maskini ila vitu hutafutwa na matajiri.
Kuna vitu ambavyo pesa haiwezi kununua.
Ila vitu vinaweza kuleta Kila aina ya pesa.
Ndiyo maana ukisikia tajiri amekufa,hawahesabu pesa alizoacha Bali vitu alivyoacha.

Hapa sizungumzii vitu K**a magari,la hasha .
Nazungumzia rasili Mali.

Yaani mashamba,mifugo,madini ,ardhi,mafuta nk.
Ngoja nikufute wasiwasi,vitu K**a hivyo vinaweza kuleta pesa kwa muda mfupi Sana na ukaanza kuhesabu noti za kutosha.
Lakini ukianza kutafuta noti,njia yake nyepesi ni Wewe kuajiriwa.
Sasa mfano,kwa mwezi unalipwa 500$,ukikata na gharama za matumizi zinabaki 300$,
Sasa ukipiga hesabu kwa mwaka utakuwa una hifadhi ngapi???
300×12.ni sawa na Dola 3600 kwa mwaka.
Pesa ambazo hazijatosha hata kwa kununua gari la kumpeleka mtoto wa jirani yako shule.

Je lini utatoka kwenye umaskini????

Sasa mwenzako wa vitu,alinunua nguruwe SITA,dume mmoja,dike watano. Baada ya kukomaa hawa wanazaa Kila mmoja nguruwe Saba. Na wakilizhwa vizuri anawatoa Kila baada ya miezi SITA. Kwa bei ya Dola 300$.
Sasa kwa mwaka anaingiza ngapi ikiwa baada ya miezi SITA anauza nguruwe 20???
Elfu SITA hiyo kirahisi tu,
Ni mfano nimetoa.
Siyo hapo tu,

Unaweza ukakumbuka malkia Elisabeth wa Uingereza alipokufa,ni kipi kilioneshwa K**a hazina alizoacha???

Yalikuwa madini yasiyo na hesabu,yaani Almasi,dhahabu,Shaba,nk.

Unajua sasa hivi waaabu ni matajiri Sana na ni kipi kinawapa utundu????
Kwanza wanamiliki hazina ya mafuta iliyo kubwa kuliko zote duniani,na ni wazalishaji wa matunda kuliko wengine duniani.

Hiyo yote ni Nini????
Wanamiliki vitu na si pesa.

Ukisikia mtu anakuambiya utafute pesa hataki uwe tajiri kwa sababu utatumikishwa ili uzipate pesa.

Ulishawahi kuona tajiri ameajiriwa???

Kutafuta pesa ni kuwa mtumwa wa pesa lakini ukitafuta vitu unakuwa boss wa pesa.

Siri za Dunia.

10/03/2023

UTUMWA WA MWAFRIKA

Utumwa wa MWAFRIKA una nyanja mbali lakini naomba uweze kusoma haya madogo kwanza ijapokuwa yataitaji akili kubwa ili kuyafahamu.

Utumwa mkubwa upo kwenye fikra . Siyo kwamba hatuna fikra chanya ,la hasha Bali ni kwamba fikra zetu zimebanwa kwa kufikiri ndani ya fikra za wenzetu.
Na huo ndiyo utumwa wa fikra.
Kwa sababu hatuna uhuru wa kufikiri kile kinachotuhusu mpaka pawepo na mgeni.

Unajua K**a Kila kitu ili tukipate mpaka kitoke nje ya Afrika hasa vitu vyote vinavyohusu uvumbuzi. Siyo kwamba hatuwezi vumbua Bali ili kujihakikishia tumefanya uvumbuzi mpaka wageni wakubaliane nao.
Mfano ukivumbua dawa ya kutibu ugonjwa wanakuambiya ni ya kienyeji na zao ndo za kitaalamu. Sasa ili dawa iitwe dawa ni hile
inayotibu ugonjwa tu.

Na hapo ndo utumwa wenyewe.

Lakini Tena utumwa mwingine ni hule wa watawala wetu kupelekeshwa na wanaume wenzao kwa ajili ya mikopo wanayopewa na mabwana zao.

Unajua Nini????

Iko hivi pesa zinazokopeshwa kwa nchi zetu kutoka benki ya Dunia ni zile ambazo viongozi wetu wanaenda kuficha baada ya kuiba kipindi wapo madarakani. Hizo hizo ndo huchukuliwa nusu na tunakopeshwa Kisha zinalipwa na riba ambayo ndo faida kwa wale wakoloni.
Sawa wewe wa kuendelea unaendelea vipi???
Kwanza rais wako ni mwizi wa Mali zenu,pili ikosoa serikali unafungwa lakini ukisifia wizi wao unapandishwa cheo.
Ndiyo maana unakuta hatuna viongozi walio tayari kuyadhabihu maisha yao kwa ajili ya nchi zao.
Kwa hiyo MWAFRIKA amka
Tupambaniye haki zetu ili vizazi vinavyokuja visije kuhangahika Tena ndani ya nchi zetu.

Fikiria hiki kingine,Inapobidi kumdhuru MWAFRIKA mabara mengine yanaungana lakini huku waafrika hawaungani kuwakabili.

Waafrika wanabaguana wao kwa wao,huku waliotuwekea mipaka wanagongeana Glasi.

Fungueni macho tuamke jamani

09/03/2023

Baada ya kushauriwa na Watu wengi kutokana na ushauri wetu,uchochezi wa ubongo,utakaso wa fikra,tumeamua kufungua ukurasa ambao ndiyo utasimama K**a darasa letu kwa Sasa. Tuwe pamoja zaidi kwa ajili ya kusogeza gurudumu hili mbele. Karibuni Sana wapendwa.

Address

Kigoma
Kasulu

Telephone

+255756179150

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIRI za dunia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category