18/09/2024
EASY SAFARI Ndio Nini?
Ni jukwaa la mtandaoni ambalo linakusaidia kusafiri kwa mfumo wa malipo ya baada (Post Paid Safari service). Yaani Safiri Sasa, Nauli Lipa Baadae!
Sasa kila Safari inawezekana. Unaweza kusafiri kwa Bus, Meli, Treni au Ndege. Usijali Tena kuhusu gharama, Nauli tuachie sisi!
Kupitia Easy Safari unaweza kusafiri hata k**a Umepata Safari ya dharula na umekosa Nauli! Au Pesa uliyonayo Haitoshi! Sasa, unaweza kusafiri Bure Kisha Nauli Lipa Mdogo Mdogo!
VIGEZO & MASHARTI
1. Uwe Mfanyabiashara
2. Mtumishi wa Serikali
3. Mtumishi Sekta Binafsi
4. Mjasiliamali
5. Uwe na Kitambulisho Cha NIDA/Leseni ya Udereva au Mpiga Kura
6. Uwe na uwezo wa kulipa Nauli ndani ya Siku 30 zijazo
KWA MSAADA WA HARAKA PIGA SIMU: 0719 042 919