17/04/2026
READY STAR ENGINEERING ποΈβ¨
Ujenzi bora unaanza na mipango sahihi na finishing safi! πͺπ₯
Katika video hii tumeonyesha hatua muhimu za kazi zetu za ujenzi na finishing kwa ubora wa hali ya juu, tukizingatia usalama, uimara na muonekano wa kisasa.
Tunafanya kazi kwa uaminifu, tunaheshimu muda wa mteja, na tunahakikisha kila hatua inaenda kwa viwango vinavyotakiwa.
π Huduma zetu:
β
Ujenzi wa nyumba (foundation hadi finishing)
β
Plasta, rangi na gypsum
β
Tiling na marumaru
β
Ceiling & design za kisasa
β
Renovation na marekebisho ya majengo
π¬ Unataka nyumba yako iwe imara na yenye mvuto wa kisasa?
Wasiliana nasi sasa kwa ushauri na makadirio ya gharama.
π WhatsApp/Call: +255650123223