Tiba Lishe Wellness

Tiba Lishe Wellness Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba Lishe Wellness, Grocers, Dodoma.

πŸ€ Natural health products
πŸ„ Nutrition support
πŸ’ͺ Health living tips
πŸ’ŒDM for order & consultation
🌍 Worldwide Delivery
πŸ“žwhAttsp no;+255752052185
NAWASAIDIA WANAWAKE WENYE CHANGAMOTO ZA KUBEBA UJAUZITO

22/05/2026
22/05/2026

22/05/2026

🌸 Umemaliza hedhi leo tarehe 22/5?
Fanya mambo haya muhimu kabla ya hedhi ya mwezi wa 6 kufika πŸ‘‡
βœ… Kunywa maji ya kutosha kila siku
βœ… Punguza vyakula vya mafuta mengi na sukari nyingi
βœ… Kula matunda na mboga za majani mara kwa mara
βœ… Fanya usafi wa sehemu za siri vizuri
βœ… Epuka kutumia sabuni kali ukeni
βœ… Lala muda wa kutosha na epuka stress sana
βœ… K**a una maumivu makali ya hedhi mara kwa mara, wahi hospitali kwa ushauri
βœ… K**a unatafuta ujauzito, anza kufuatilia siku za yai kupevuka
βœ… K**a hutaki ujauzito, tumia kinga mapema kabla ya siku za hatari
βœ… Fanya mazoezi mepesi kusaidia mwili kuwa sawa
⚠️ Ukiona:
πŸ”΄ Harufu kali isiyo ya kawaida
πŸ”΄ Maumivu makali sana
πŸ”΄ Kuwashwa au uchafu tofauti
πŸ”΄ Hedhi kubadilika ghafla
Ni vizuri kupata ushauri wa kitaalamu mapema. πŸ’•

21/05/2026

🌸 Umeanza hedhi leo tarehe 21/5? Fanya hivi kupunguza maumivu ya tumbo wakati wa hedhi πŸ‘‡
πŸ’§ Kunywa maji ya kutosha kila siku
🍡 Tumia vitu vya moto k**a chai ya tangawizi au maji ya uvuguvugu
πŸ”₯ Weka maji ya moto tumboni kupunguza cramps
πŸ›Œ Pumzika vya kutosha na epuka stress
πŸ₯— Epuka vyakula vya mafuta mengi na soda nyingi
πŸšΆβ€β™€οΈ Fanya mazoezi mepesi kusaidia mwili kutulia
πŸ’Š Maumivu yakizidi unaweza kutumia dawa za maumivu kwa ushauri wa daktari
⚠️ K**a maumivu yanakuwa makali sana kila mwezi, hedhi kutoka nyingi sana au mzunguko kubadilika mara kwa mara usipuuze kupata ushauri wa kitaalamu.
πŸ“² Ushauri na tiba kwa changamoto za hedhi
WhatsApp: +255752052185

21/05/2026

20/05/2026

20/05/2026

πŸŒΈπŸ’• UMEMALIZA HEDHI YAKO LEO TAREHE 20/5 NA UNAHITAJI KUPATA UJAUZITO? SOMA HII ITAKUSAIDIA 🀰❀️
Baada ya kumaliza hedhi, mwili wa mwanamke huanza kujiandaa kwa hatua muhimu sana ya kuachia yai πŸ₯šβœ¨. Hiki ndiyo kipindi ambacho nafasi ya kupata ujauzito huanza kuongezeka taratibu. K**a unatamani kupata mtoto, hizi ni siku muhimu sana kwako πŸ’žπŸ‘Ά
🌷 MAMBO MUHIMU YA KUFANYA BAADA YA HEDHI:
πŸ’§ Kunywa maji mengi kila siku
Maji husaidia mwili kufanya kazi vizuri na kusaidia ute wa uzazi kuwa mzuri kwa mbegu za mwanaume kupita kirahisi 🀍
πŸ₯— Kula vyakula vya kuongeza afya ya uzazi
βœ… Beetroot / kiazi chekundu ❀️
βœ… Mayai πŸ₯š
βœ… Samaki 🐟
βœ… Mboga za majani πŸ₯¬
βœ… Parachichi πŸ₯‘
βœ… Karanga na mbegu mbalimbali 🌰
βœ… Matunda yenye vitamin C 🍊🍍
Vyakula hivi husaidia kuongeza nguvu ya mwili, kuboresha mayai ya uzazi na kuandaa mwili vizuri kwa ujauzito 🌸
πŸ’Š Tumia folic acid
Folic acid ni muhimu sana kwa mwanamke anayepanga kupata ujauzito πŸ€°πŸ’š. Husaidia maandalizi ya mtoto tumboni na afya ya mama.
😴 Pata usingizi wa kutosha
Stress na uchovu mwingi vinaweza kuvuruga homoni za uzazi πŸ˜”. Tulia, pumzika na uwe na mawazo mazuri πŸ’•
❀️ Shiriki tendo kipindi cha rutuba
Kwa mwanamke mwenye mzunguko wa kawaida, siku za rutuba zinaweza kuanza siku chache baada ya hedhi kuisha πŸ“…βœ¨
🌺 Kwa mfano: K**a umemaliza hedhi leo tarehe 20/5, basi kuanzia tarehe 24/5 hadi 31/5 nafasi ya kushika mimba inaweza kuwa kubwa zaidi πŸ’‘πŸ‘Ά
πŸ”₯ DALILI ZA SIKU ZA RUTUBA: πŸ’¦ Ute wa ukeni kuwa mweupe na wa kuvutika k**a yai bichi
❀️ Kuongezeka hamu ya tendo
🌑️ Joto la mwili kubadilika kidogo
🌸 Maumivu madogo chini ya tumbo upande mmoja
😊 Kujisikia tofauti kimwili
⚠️ EPUKA MAMBO HAYA: ❌ Stress nyingi
❌ Kukosa usingizi
❌ Matumizi holela ya dawa
❌ Kufunga kula sana
❌ Pombe na sigara
🌹 Ushauri muhimu: Usikate tamaa k**a ujauzito haujapatikana haraka πŸ’•. Wanawake wengi hupata ujauzito baada ya kuendelea kufuatilia vizuri siku zao za rutuba na kutunza afya zao.
🀍 Tunza mwili wako
🀍 Kula vizuri
🀍 Kuwa na furaha
🀍 Omba na kuwa na matumaini mazuri
πŸ‘Άβœ¨ Safari ya kuwa mama inaanza na kujitunza vizuri kila siku

Address

Dodoma
OCTA28

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba Lishe Wellness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category