musaada kutoka juu mbinguni

musaada kutoka juu mbinguni prech

KUOTA NDOTO UKO JALALANI NI ISHARA YA ROHO YA KUCHAFULIWA,YANI KUKOSA KIBARI KWA WATU,NUKSI,MIKOSI,PIA ROHO YA KUCHANGAN...
08/03/2026

KUOTA NDOTO UKO JALALANI NI ISHARA YA ROHO YA KUCHAFULIWA,YANI KUKOSA KIBARI KWA WATU,NUKSI,MIKOSI,PIA ROHO YA KUCHANGANYIKIWA,KUWA MWEHU,MWENDAWAZIMU, UCHIZI INAKUFATILIA.ROHO YA UMASIKINI,KUKATALIWA NA ROHO YA MAUTI.

MATAMBIKO NI IBADA ZA KIMILA ZINAZOWAKILISHA KUZIMU,WATU WENGI WANACHUKULIA KAWAIDA KWANI HUJUA KUWA WANAFANYA IBADA ZA ...
07/03/2026

MATAMBIKO NI IBADA ZA KIMILA ZINAZOWAKILISHA KUZIMU,WATU WENGI WANACHUKULIA KAWAIDA KWANI HUJUA KUWA WANAFANYA IBADA ZA KIMILA TU,LAKINI UKWELI NI KWAMBA UNASUJUDIA KUZIMU NA MIUNGU YA GIZA,AMBAYO KIONGOZI WAKE NI SHETANI, KWAHYO UNAKUA UNAMANISHA KUA SHETANI NI BORA KULIKO MUNGU WA MBINGUNI ASIYESHINDWA NA CHOCHOTE,PIA UNAKUA UMEMKANA MUNGU KWA KUINGIA MAAGANO MAZITO NA SHETANI.

06/03/2026

THERE IS POWER IN THE MIGHTY NAME OF JESUS

24/02/2026

Mamake Sturridge

Ukiona mtu kiburi na dharau imezidi,jua Kuna anguko kubwa mbele yake,au Kuna mauti mbele yake.kama alikua na Mali atafir...
22/02/2026

Ukiona mtu kiburi na dharau imezidi,jua Kuna anguko kubwa mbele yake,au Kuna mauti mbele yake.kama alikua na Mali atafirisika,kama ni cheo kinaenda kukoma au kupoteza cheo,kama anajivunia ndoa inaenda kupotea.

Matendo ya Mitume 16:16  Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja aliyekuwa na pepo wa uaguzi aka...
16/02/2026

Matendo ya Mitume 16:16
Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja aliyekuwa na pepo wa uaguzi akatukuta, aliyewapatia bwana zake faida nyingi kwa kuagua.

Matendo ya Mitume 16:17
Akamfuata Paulo na sisi akipiga kelele, akisema, Watu hawa ni watumishi wa Mungu aliye juu, wenye kuwahubiria njia ya wokovu.

Matendo ya Mitume 16:18
Akafanya hayo siku nyingi. Lakini Paulo akasikitika, akageuka akamwambia yule pepo, Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu. Akamtoka saa ile ile.

UKIONA KANISANI MTU NI KIHEREHERE KUPITA KIASI,KUJIFANYA ANAJUA MAMBO YA MUNGU KULIKO,ANA WIVU,MJUAJI, HYO NI AJENTI ,kuwa makini sana ataharibu maisha yako.

With Masum Khan Mahin – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰
16/02/2026

With Masum Khan Mahin – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰

With Kantlal Saini – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰
16/02/2026

With Kantlal Saini – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰

With Abola Tiger Base – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰
16/02/2026

With Abola Tiger Base – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰

With Mamake Sturridge – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰
16/02/2026

With Mamake Sturridge – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰

With ThΔ“ Mvtt – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰
16/02/2026

With ThΔ“ Mvtt – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰

Luka 1:37  kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu. KUMBE YOTE KWA MUNGU YANAWEZEKANA USIOGOPE MUNGU ATAKUSHIKA MK...
14/02/2026

Luka 1:37
kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu.

KUMBE YOTE KWA MUNGU YANAWEZEKANA USIOGOPE MUNGU ATAKUSHIKA MKONO UTAVUKA, HAIJALISHI UNAPITIA MAMBO GANI IWE NI MAGONJWA, UCHUMI,NDOA,N.K WEWE MUONE MUNGU UTAOMBEWA NA UTAKAA SAWA KILAHISI KABSA

0740635072 AU 0612685072

Address

Dareslam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when musaada kutoka juu mbinguni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category