Abaah Mabando

Abaah Mabando Airtel bundles and services
SME bundles
Chapakazi bundles
lipa namba
laini za uwakala

USIMPE AGENT PESA YAKO KUKUBOTESHEA HUDUMA YA SME...HII NI BUREEE🔥🔥🔥🔥 0783 473 191 Nakunoreshea laini yako kuwa na uwezo...
15/05/2025

USIMPE AGENT PESA YAKO KUKUBOTESHEA HUDUMA YA SME...HII NI BUREEE🔥🔥🔥🔥 0783 473 191

Nakunoreshea laini yako kuwa na uwezo wa kujiunga na bundles za SME huduma hii ni official kutoka Airtel. Nasemaje activation ni BUREEE...

Utachotakiwa kufanya utatuma taarifa zifuatazo👇
📌Namba ya sim ya Airtel
📌Majina matatu kamili
📌Tin namba( k**a huna utatuma namba ya nida na k**a huna pia usiogope utatuma namba na Majina🔥🔥🔥)

Nnarudia Tena activation ni BUREEE 🔥🔥🔥
Mawasiliano 0783473191 au 0788397991
Whatsapp link :
Check out WhatsApp Business app, I use it to connect with my customers. Get it for free at https://whatsapp.com/biz/

NI BUREEEEE🔥🔥🔥🔥🔥🔥Karibu nikusaidie kupunguza kharama za matumizi ya kununua bundles kwa bei kubwa.Nitakuwezeshea laini y...
15/05/2025

NI BUREEEEE🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Karibu nikusaidie kupunguza kharama za matumizi ya kununua bundles kwa bei kubwa.

Nitakuwezeshea laini yako iwe na menu ya *149*91 # ambayo utajiunga bundles kwa bei nafuu na rahisi.

Hii huduma ni official kutoka Airtel hatukutozi gharama yoyote Bali utachotakiwa kufanya👇
Utatakiwa kutuma vitu vifuatavyo:
📌Namba ya sim ya Airtel
📌Tin namba ( k**a huna pia hakuna tatizo inawezekana pia)
📌Majina matatu kamili
📌Utaweka vocha kulingana na kifurushi unachohitaji kuanza nacho kwenye laini yako

Ni zoezi la dakika 5 tuu ku upgrade laini yako kupata hizi bundles

mawasiliano 0783473191 au 0788397991
Karibu sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥

NAFASI ZA KAZIAirtel inapenda kuwatangazia nafasi za kazi za afisa mauzo.Watu wanaohitajika wenye sifa zifuatazo▪️Kusaji...
19/04/2025

NAFASI ZA KAZI
Airtel inapenda kuwatangazia nafasi za kazi za afisa mauzo.
Watu wanaohitajika wenye sifa zifuatazo
▪️Kusajili laini 5 na kuziwekea bundle za sme Kwa week
▪️Kusajili laini 15 na kuendelea Kwa mwezi na kuziwekea bundle za SME
▪️Kufika ofisini pale utapoitajika.

MALIPO
▪️Ukifanikiwa kusajili laini 5 na kuziwekea bundle za sme utapokea 36,000/=(hii ni ya Kila week k**a utafika hiyo target)
▪️ Ukifanikiwa kuwawekea huduma wateja 25+ Kwa mwezi utaingiziwa vocha ya 40,000/=
▪️Utapokea kamisheni ya asilimia 20% ya matumizi ya wateja Kwa miezi mitatu
▪️Endapo utafanikiwa kusajili laini 10+ Kwa mwezi utapokea bonus ya 200+
▪️Kuna bonuses kibao🔥🔥 hazielezeki.

VIAMBATANISHO
▪️Namba isio na access yoyote (ikiwezekana laini mpya itakuwa nzuri zaidi)
▪️Majina matatu kamili yanayofanana na usajili wa hiyo laini
▪️Namba ya nida inayofanana na usajili wa laini husika

Maombi yatumwe Whatsapp katika namba 0783473191

Ama join kwenye group letu la mafunzo

https://chat.whatsapp.com/DH2mYXIWasO4P1BcRcEK5k

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abaah Mabando posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category