WpCo Updates

WpCo Updates WpCo Football Update

Chama amekuwa na wakati mzuli sana ndani Simba SC Tanzania ambapo kwenye kila mechi aliyocheza amekuwa hatari sana akifu...
17/05/2026

Chama amekuwa na wakati mzuli sana ndani Simba SC Tanzania ambapo kwenye kila mechi aliyocheza amekuwa hatari sana akifunga na kutoa assist za mabao.
πŸ“ŒKwenye mchezo wa leo aliwatanguliza simba dakika ya 06' tu ya michezo ukiwa ni mwendelezo alionao mechi 5 zilizopita.

Hvo kumuita Chama bila A.K.A ya kumfaa haitoshi.

Je? Ww unaona ni a.k.a gani inamfaa?

Sababu ya Chobwedo kutoonyesha ni mechi kuchezeshwa usiku wakisema  hakukuwa na jua la kuchaji upara wakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mashabik...
17/05/2026

Sababu ya Chobwedo kutoonyesha ni mechi kuchezeshwa usiku wakisema hakukuwa na jua la kuchaji upara wakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mashabiki wa simba wamemkebehi Ramadhani Chobwedo leo kisa ameshindwa kuonyesha makali yake dhidi ya Simba SC Tanzania. TRA united ikikubali kichapo cha bao 4-0πŸ’―

Waarabu wameanza harakati za usajili ndani ya Simba SC Tanzania. Hii ni baada ya wachezaji hawa kuonyesha viwango vya ha...
17/05/2026

Waarabu wameanza harakati za usajili ndani ya Simba SC Tanzania. Hii ni baada ya wachezaji hawa kuonyesha viwango vya hali ya juu ndani ya Simba SC.

Inasemekana kuna timu kutoka uarabuni inahitaji huduma ya mchezaji LIBASE GUEYE

Wanasimba mko tayari Libase Gueye auzwe??

17/05/2026

Anko Nzala na Mohamed Dewji (Mo Dewji) trending now.

Duchu ni mchezaji bora wa mechi ya Robo Fainali CRDB Federation Cup Simba SC Tanzania ikilawalaza watoza Kodi TRA united...
17/05/2026

Duchu ni mchezaji bora wa mechi ya Robo Fainali CRDB Federation Cup Simba SC Tanzania ikilawalaza watoza Kodi TRA united 4-0

Anachokifanya David Kameta Duchu ni kutafta kubakia msimbazi msimu ujao au mbna kaanza kujitutumua

Vp unaonaje abakia simba au?

Full Time Simba 4-0 TRA unitedGoli la nne limefungwa na Bashiriiiiiiiiii. Muite Bashiri Kibaila, mwenye umri wa miaka 18...
17/05/2026

Full Time Simba 4-0 TRA united

Goli la nne limefungwa na Bashiriiiiiiiiii. Muite Bashiri Kibaila, mwenye umri wa miaka 18. Kinda huyu wa kitanzania amezaliwa Januari 7, 2008.

Simba 3-0 TRA UnitedGoaal Selemani Mwalimu anafunga goli la 3 kwa Simba SC Tanzania Tra united 0. Anaingia tu na kufunga...
17/05/2026

Simba 3-0 TRA United
Goaal Selemani Mwalimu anafunga goli la 3 kwa Simba SC Tanzania Tra united 0. Anaingia tu na kufunga goli

Leo tuzungumze kidogo kuhusu mwamba Elie Mpanzu. Unakionaje kiwango chake saivi
17/05/2026

Leo tuzungumze kidogo kuhusu mwamba Elie Mpanzu.
Unakionaje kiwango chake saivi

Goli la pili kwa Simba SC Tanzania OURA anafungaHii simba mbona k**a itaua mashabiki kwa raha hiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
17/05/2026

Goli la pili kwa Simba SC Tanzania OURA anafunga

Hii simba mbona k**a itaua mashabiki kwa raha hiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Vikosi Simba dhidi ya  Tra united
17/05/2026

Vikosi Simba dhidi ya Tra united

Chobwedo vs Kibabage Leo kazini kwa kibabage kuna kazi kam atafanikiwa kuanza kwenye kikosi cha Leo Simba SC Tanzania wa...
17/05/2026

Chobwedo vs Kibabage
Leo kazini kwa kibabage kuna kazi kam atafanikiwa kuanza kwenye kikosi cha Leo Simba SC Tanzania wakiwakaribisha TRA united.

Nani kuibuka bingwa kati Chobwedo vs Kibabage??

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when WpCo Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share