Dawa Asili Info

Dawa Asili Info Kupata suluhisho la magonjwa sugu kwa kutumia dawa za Asili
https://wa.me/255743342483

K**a unatatizo la vidonda vya tumbo sugu, dawa sahihi ni hii.
10/05/2025

K**a unatatizo la vidonda vya tumbo sugu, dawa sahihi ni hii.

13/03/2025

JINSI YA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA [MPOX]

Mpox au [Monkeypox] haina tiba maalum, lakini mara nyingi, hujiponya yenyewe. Maana yake ni kwamba watu wengi "hupona" bila matibabu ya hospitali. Hata hivyo, dawa za kuua virusi k**a Tecovirimat [TPOXX], zinaweza kutumika katika kesi kali au kwa watu wenye Kinga Dhaifu mno!

Tiba Asili za Kusaidia Mpox.
Ingawa hakuna tiba ya asili inayoweza kuponya Mpox, baadhi ya njia za Asili zinaweza kusaidia kuimarisha Kinga ya Mwili, na kupunguza dalili!

1. Vyakula na Mimea Inayoongeza Kinga:
• Mlonge [Moringa]
• Manjano na Tangawizi
• Kitunguu Saumu na Vitunguu
• Matunda ya Citrusi [chungwa, ndimu limao]
• Majani ya Mpapai.

2. Uponyaji wa Ngozi na Kupunguza Vipele:
• Jeli ya Aloe Vera
• Mchanganyiko wa Majani ya Mwarobaini
• Maji ya Uji wa Shayiri [Oatmeal Bath]
• Mafuta Halisi ya N**i.

3. Unywaji Maji na Uondoaji Sumu Mwilini:
• Maji ya N**i
• Chai za Kiasili [chamomile, chai ya kijani, majani ya mchaichai, hibiscus]
• Maji ya Moto yenye Asali na Ndimu.

4. Kudhibiti Homa na Maumivu:
• Chai ya Mdalasini na Karafuu
• Tangawizi na Asali.

5. Kupumzika na Kupunguza Msongo:
• Kulala vya Kutosha
• Kupata Miale ya Jua [Vitamini D].

Tuendelee kuchukua tahadhari, na kuyazingatia maelekezo ya wataalamu wetu. "Kinga ni Bora"!

05/03/2025

FAIDA ZA MBEGU ZA UKWAJU

1. Dawa ya kisukari
2. Dawa ya kifua kikuu
3. Zinatibu mfumo wa umeng'enyaji wa chakula
4. Hutibu minyoo
5. Ni dawa nzuri ya magonjwa ya moyo
6. Huondoa mafuta kwenye Ini
7. Ni dawa ya UTI Sugu
8. Zina uwezo wa kupambana na maambukizi

MAANDALIZI

Chukua mbegu za ukwaju, saga upate unga wake, tumia kijiko kimoja cha unga huo kwenye maji ya vuguvugu, kunywa kabla ya chakula asubuhi na jioni.
Kwa Elimu na Tiba follow ukurasa wetu wa Dawa Asili Info au Whatsapp 0743342483

25/02/2025

Mambo Usiyo yajuwa Kuhusu Matibabu ya Upasuaji wa Tezidume...

1. Baada ya upasuaji kati ya miezi 6 hadi mwaka na nusu, (Tendo la ndoa sahau).

2. Kati ya miezi 6 hadi mwaka, Lazima uta vaa Nepi... Kwa sababu hautakuwa na uwezo wa kuzuiya haja ndogo.

3. Nguvu za kiume hazito rudi tena endapo kutatokea makosa madogo sana wakati wa upasuaji, (Hii kwa bongo mara nyingi ni common).

4. Baada ya upasuaji, Utapitia hali ya haja ndogo yenye damu kati ya wiki 4 hadi 6.

NB: Mambo yote hayo na mengine, Unapaswa kuelezwa na dakitari wako kabla ya kuingia chumba cha upasuaji.

Tezidume inaepukika, chukua tahadhari, kwani ni bora kinga kuliko Tiba....

FAHAMU KUHUSU UGONJWA VIDONDA VYA TUMBO.Ni ugonjwa unaopelekea ukuta wa tumbo kuvimba (inflammation) au kulika (ulcerati...
09/02/2025

FAHAMU KUHUSU UGONJWA VIDONDA VYA TUMBO.

Ni ugonjwa unaopelekea ukuta wa tumbo kuvimba (inflammation) au kulika (ulceration) kutokana na kiwango cha asidi kuzalishwa kwa wingi tumboni.

Tatizo hili niweza kusababishwa na sababu mbalimbali k**a...
• Kunywa pombe,
• Kuvuta sigara,
• Mkazo/msongo wa mawazo (stress)
• Kuungua mwili (curling ulcer)
• Kuumia kwa ubongo hupelekea 'Cushing ulcer',
• Matumizi ya dawa za maumivu (NSAIDS) k**a diclofenac, ibuprofen kwa muda mrefu
• Gastrinoma; uvimbe unaozalisha ASIDI.

• Maambukizi ya bakteria aina ya HELICOBACTER PYLORI. Huyu ni bakteria ambaye anaambukizwa kwa njia ya kula chakula/matunda,/kachumbari au kunywa kinywaji yenye mdudu huyo.

BAADHI YA DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO NI;

• Maumivu ya tumbo k**a moto; baada ya kula kwa mwenye gastric ulcer na kabla ya kula kwa mwenye duodenal ulcer. Muda mwingine maumivu kuelekea mgongoni.

• Kujihisi mchovu hasa kwa vidonda vilivyosababishwa na bakteria;
• Kutapika damu
• Kupata choo chenye damu (hematochezia) au choo cheusi (melena). Hii hutokea hasa ikiwa vidonda vimetoboka.

JE, MAZIWA 'FRESH' NI TIBA?

Jibu ni HAPANA. Maziwa hayatibu kabisa vidonda vya tumbo bali huleta nafuu ya muda tu. Na hatushauri matumizi ya maziwa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo kwani hupoza kwa muda na kuchochea uzalishwaji wa ASIDI kwa wingi zaidi na hivyo kuongeza tatizo.

TIBA YAKE NI NINI?

•Hutegemea na sababu iliyopelekea. Huweza kuwa dawa za kupunguza kiwango cha asidi tumboni au mchanganyiko wa damu kwa ajili ya kuua wadudu.

• Epuka vyakula/vinywaji vinavyopelekea uzalishwaji wa ASIDI kwa wingi. Mfano, vyakula vyenye wanga sana, dagaa n.k
Pia kuacha vinywaji vyenye gesi kwa wingi (carbonated drinks) k**a soda n.k.

JIPATIE DAWA YAKO YA ASILI

KWA SIKU 14 UPATE KUACHANA HALI YA VIDONDA TUMBO

+255 743 342483
Whatsapp

Tunakumbushana!Mwanaume k**a unashida katika kushiriki tendo, nenda na hii code, utakuja kunishukuru* Ndizi Mbivu*Maziwa...
09/02/2025

Tunakumbushana!
Mwanaume k**a unashida katika kushiriki tendo, nenda na hii code, utakuja kunishukuru
* Ndizi Mbivu
*Maziwa
*Almondi (Rozi)
* Parachichi

*Mambo Usiyo yajuwa Kuhusu Matibabu ya Upasuaji wa Tezidume...*1.  Baada ya upasuaji kati ya miezi 6 hadi mwaka na nusu,...
09/02/2025

*Mambo Usiyo yajuwa Kuhusu Matibabu ya Upasuaji wa Tezidume...*

1. Baada ya upasuaji kati ya miezi 6 hadi mwaka na nusu, Hutoshiriki Tendo la ndoa kabisa.

2.Kati ya miezi 6 hadi mwaka, Lazima uta vaa Nepi... Kwa sababu hautakuwa na uwezo wa kuzuia haja ndogo.

3.Nguvu za kiume hazito rudi tena endapo utafanyiwa Upasuaji na pia k**a kutatokea makosa madogo sana wakati wa upasuaji.
(Hii kwa bongo mara nyingi ni Kawaida sana kujitokeza hayo Makosa).

4.Baada ya upasuaji, Utapitia hali ya haja ndogo yenye damu kati ya wiki 6 mpaka 9.

*NB:*
Mambo yote hayo na mengine, Unapaswa kuelezwa na dakitari wako kabla ya kuingia chumba cha upasuaji.
(Ila Mara Nyingi Wengi Hawaambiwi haya, Wanakuja Kukutana nayo tuu Wakishafanyiwa Upasuaji)

Tezidume Inaepukika,

04/02/2025

VIDONDA VYA TUMBO

*Je, vidonda vya tumbo ni nini?*

Vidonda husababishwa na kubanduka kwa utando ambako hutokea wakati ambapo sehemu ya nyama wa tumbo au utumbo zimeharibiwa.

"Ukuta wa tumbo na duodenum ni pamoja na tabaka nne na mgonjwa husemekana kuwa na ugonjwa wa vidonda/ kidonda cha tumbo wakati kidonda kinapofikia safu ya tatu."

*Je! ni kidonda/vidonda vya tumbo husababishwa na nini?*

Chanzo kikuu cha vidonda vya tumbo ni bakteria Helicobacter pylori (H. pylori) wanaopatikana katika asilimia 90 ya matukio na matumizi ya dawa za kuzuia maumivu zisizo na steroide (NSAIDs).

“Tunapozungumzia sababu za vidonda tutatofautisha aina mbili , kwanza ni maambukizi ya bakteria aina ya Helicobacter pylori, ni bakteria ambao tunawapata tukiwa wadogo kwa kula vitu mbali mbali ambão husababisha uzalishaji mwingi wa asidi tumboni ambayo inaweza kusababisha kidonda,”

Sababu ya pili ya vidonda ni tabia fulani na mambo ya maisha, ambayo yanaweza kuchangia kuongezeka kwa bakteria hawa au kuzidisha vidonda vilivyopo.

"Ni ukweli, kwa mfano, kufunga, kuruka mlo, au kutumia dawa zenye asterods uchochezi, hususan aspirini au ibuprofen."

Sababu nyingine ni matumizi ya "pombe kwenye tumbo tupu. Kwa hivyo vitu hivi vitagusana moja kwa moja na utando wa tumbo au ule wa sehemu ya mwisho ya tumbo inayosafirisha chakula kwenye utumbo na kusababisha uvimbe ambao unaweza kusababisha kidonda,"

TABIA ZINAZOWEZA KUONGEZA UWEZEKANO WA KUPATA VIDONDA VYA TUMBO.

1. Uvutaji sigara
2. Unywaji pombe kupita kiasi
3. Msongo wa mawazo
4. Unywaji wa kafeini kupita kiasi
5. Kula kupita kiasi
6. Kupuuza Dalili za Vidonda
7. Matumizi kupita kiasi ya Antacids

*DALILI ZAKE NI ZIPI?*

Vidonda vya tumbo hujidhihirisha kwa maumivu ya epigastric: epigastrium ni kiungo kilichopo katikati ya juu ya tumbo.

Mgonjwa huhisi hali ya kuungua kukandamizwa kwenye tumbo la juu. Maumivu haya huwa makali sana katika saa za kwanza baada ya kula na hupungua unaposhiba.

Ugonjwa huo pia unajidhihirisha na dyspepsia, yaani, hisia ya uzito wa tumbo, tumbo kushindwa kumeng’enya chakula k**a kawaida, kichefuchefu au kutapika au katika hali mbaya zaidi kwa kutokwa na damu.

Njoo ujipatie dawa za vidonda vya tumbo 0743343483

04/02/2025

𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗩𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗧𝗘𝗭𝗜 𝗗𝗨𝗠𝗘

• Kukojoa mara kwa mara hasa wakati wa Usiku
• Kuhisi maumivu Wakati wa kukojoa
• Kupoteza Nguvu za kiume kwa kasi na kupoteza hisia Kabisa kwa kasi.
• Mkojo hutoka kwa kasi ndogo sana na hauruki mbali.
• Baada ya kukojoa hujihisi mkojo umebaki kwenye kibofu.
• K**a tatizo la Tezi Dume limefika Stage kubwa mtu huyo huanza kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu.
• Maumivu kwenye kiuno/ nyonga.

𝗡𝗕 : Sio lazima uone dalili zote unaweza kuona baadhi ya dalili hasa k**a upo miaka 40+.

Tupigie kwa msaada zaidi na Suluhisho la kudumu upone bila Upasuaji.
0743 342 483

04/02/2025

FAIDA ZA KUNYWA MAJI YA UVUGU UVUGU ASUBUHI KABLA YA KULA CHOCHOTE UNAPOAMKA.

Huondoa kiungulia na matatizo mengi ya umeng'enyaji wa chakula: Kunywa maji ya uvugu uvugu kabla ya kula chochote asubuhi unapoamka kutakusaidia kuzimua asidi inayopatikana tumboni ambayo ndiyo husababisha tatizo la kiungulia, pia utarahisisha na kuboresha mchakato mzima wa umeng'enywaji wa chakula kufanyika ipasavyo. Hivyo basi, k**a unakabiliwa na matatizo haya ni vyema kuzingatia unywaji wa maji ya uvugu uvugu unapoamka tu kabla ya kutumia dawa mbalimbali.

✅ KWA TATIZO LA ACID REFLUX, TIBA IPO ONANA NASI +255743 342483

DAWA ASILI INFO
0743 342 483
TANZANIA🇹🇿

31/01/2025

KATIKA SABABU KUBWA ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI MTU KUUMWA BAADHI YA MARADHI.

VIDONDA VYA TUMBO NI MOJA YA MARADHI YANAYOCHANGIA SANA KUDHOOFISHA NGUVU ZA KIUME.

HIVYO KABLA YA KUTIBU NGUVU ZA KIUME TIBU KWANZA VIDONDA VYA TUMBO K**A UNAVYO.

DAWA ZA VIDONDA ZIPO KWA GARAMA NAFUU SANA YA OFA. 0743 342 483

27/01/2025

CHANGAMOTO WANAZOKUTANA NAZO WAGONJWA WA KISUKARI

1. Kutokujua Vyakula Sahihi:
Wagonjwa wengi hawana ufahamu wa kina juu ya vyakula wanavyopaswa kula. Hii inawafanya kukosa udhibiti mzuri wa sukari mwilini, jambo linaloweza kupelekea hatari za kiafya.

2. Taarifa Tofauti Tofauti:
Kuna taarifa nyingi zinazosambazwa kuhusu vyakula vya mgonjwa wa kisukari, na baadhi ya taarifa hizi zinaweza kupotosha. Ni muhimu kuwa na maarifa sahihi na kuepuka ushauri wa kiholela kutoka kwa marafiki au familia bila kuthibitishwa na wataalamu.

3. Uchaguzi wa Vyakula vya Wanga:
Wanga ni sehemu muhimu ya lishe, lakini sio aina zote za wanga zina athari sawa kwa sukari mwilini. Wanga mzuri k**a ule wa nafaka nzima huathiri mwili polepole, wakati wanga hatari unaweza kuongeza sukari kwa haraka zaidi.

Follow Page yetu upate Elimu sahihi na Tiba Sahihi
Whatsapp 0743342483

Address

Dar Es Salaam
17107

Telephone

+255712342483

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dawa Asili Info posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dawa Asili Info:

Share

Category