LUNO Online Services

LUNO Online Services Our Services we Offer
�Computers and accesories
�Phones
�All electronics machines
� Q &A service

Never give-up
14/05/2026

Never give-up



Aliyewadanganya mabinti kuwa miaka ya 18–29 ni ya “Kuenjoy Maisha tu” bila kujijenga…APIGWE 😀.Kwanza Aliwaficha ukweli m...
13/05/2026

Aliyewadanganya mabinti kuwa miaka ya 18–29 ni ya “Kuenjoy Maisha tu” bila kujijenga…APIGWE 😀.

Kwanza Aliwaficha ukweli muhimu sana ambao ni huu 👇.

Kipindi hicho ndio msingi wa future yako.

Ni miaka ambayo unaweza...

• Kujifunza skills
• Kujitafuta
• Kujenga confidence
• Kukuza kipaji
• Kuanza biashara
• Kujenga discipline
• Na kutengeneza direction ya maisha yako.

Sio vibaya kufurahia maisha…lakini tatizo ni pale enjoyment inapokuwa ndio mission kuu, huku growth ikisahaulika.

Maana muda ukipita ndipo wengi huanza kugundua..miaka ilienda haraka kuliko walivyodhani.

Kuna baadhi ya decisions huleta matokeo ya muda mrefu...

• Relationships zisizo na direction
• Kuishi kwa pressure ya marafiki
• Kupoteza focus
• Au kutumia nguvu nyingi kwenye vitu visivyojenga future.

Na...

Hakuna anayekuja kukuokoa MAGICALLY.
Lazima ujijenge mwenyewe kwanza.

Miaka ya 18–29 ni kipindi kizuri sana kwa..

📍kujifunza marketing
📍sales
📍content creation
📍customer care
📍communication
📍na financial discipline

Maana ukitumia muda huo vizuri…unaweza kuja ku-enjoy maisha kwa utulivu mkubwa baadaye.

Usikubali dunia ikufundishe kuonekana “busy having fun” huku ndani future yako haina direction.

Build yourself first.
The rest will follow.

Edigar John ✍️.

07/05/2026

⏳ Usipokuwa makini…

“Presha” ya kujihisi umechelewa inaweza kuwa ukungu mbele ya macho yako 😶‍🌫️

Hata vile vitu vidogo ambavyo ungeweza kufanya ili usogee,
unajikuta hufanyi ❌

Unabaki kwenye kujilaumu na kujiona siyo maana 😔

✨ Lakini amini — hujachelewa.

👉 Jipe nafasi nyingine mbona Mungu kakupa nafasi nyingine ya uhai,kwanin wewe usijipe kujaribu tena ???.💪🔥




Kufikiri ni kugumu, ndiyo maana watu wengi hutoa hukumuMaana ya nukuu hii ni k**a ifuatavyo:✍️ Urahisi wa KuhukumuNi rah...
04/05/2026

Kufikiri ni kugumu, ndiyo maana watu wengi hutoa hukumu

Maana ya nukuu hii ni k**a ifuatavyo:
✍️ Urahisi wa Kuhukumu
Ni rahisi sana kumnyooshea mtu kidole au kutoa hitimisho la haraka kuhusu hali fulani bila kuwa na taarifa kamili kwanini wameamua kuwa na msimamo huo. Hii inaitwa "mental shortcut"
✍️Ugumu wa Kufikiri
Kufikiri kwa kina kunahitaji jitihada, muda, unyenyekevu, na uwezo wa kujihoji mwenyewe. Inakuhitaji uelewe upande mwingine wa jambo badala ya kukosoa tu.(Hili ni wengi viongozi wa siasa wanalo )
✍️ Uvivu wa Kiakili
Jung anamaanisha kuwa watu wengi wanapendelea kutoa maoni au hukumu ili kuepuka kazi ngumu ya kutafakari mambo kwa undani na kwa haki.

Haya huonekana pale ambapo raia huanza kutumika k**a NGAO ya kuipambania nchi yao .




11/04/2026



21/12/2025

Hii imekaaje wakuu ?





19/12/2025

GOOGLE PIXEL 9 PRO XL 🔥 (AVAILABLE ✅)
📦 Storage: 128GB
⚡ RAM: 16GB
✨ Condition: Clean sana (Very Clean)
📦 Original Box ipo

📸 Kamera ya kiwango cha juu (Pixel Camera) – picha & video kali hata usiku
⚡ Performance kubwa (haraka, smooth kwa kazi & content)
🤖 Android safi + updates za muda mrefu

📍 Kariakoo – Dar es Salaam
🚚 Tunatuma mikoani kote
📞 Call / WhatsApp: 0685237039

👉 Wa kwanza kufika anachukua!













Address

KARIAKOO, DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LUNO Online Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category